Umofia Kwenu wana JF,
Mwanamuziki wa Cocacola Pop Stars,Sarah Kaisi Alias Shaa amelamba shavu la kutangaza katika luninga ya Citizen katika kipindi kinachoenda kwa "Sakata Mashariki" kitakachoanza kuruka leo kuanzia saa nne usiku.

Sakata Season 5 is back and this time it is Sakata Mashariki. The popular dance show which seeks to find the best dance crews in Kenya has extended its wings to Tanzania and Uganda so the competition just got tougher! The judges remain the same, Judge Wyre, Judge Ian and Judge Joan with a guest judge from the previous seasons. Catch the baddest dance crews in East Africa battle it out every Sunday at 8 PM on Citizen TV with your hosts Awinja and DNG! Tune in this Sunday to see how the auditions went in the different areas!
[h=1]Shaa apata shavu la kuwa jaji wa shindano la Sakata Mashariki[/h] By Kilimanjaro Premium Lager on July 5, 2014
Muimbaji wa zamani wa kundi la Wakilisha na hitmaker wa Sugua Gaga, Sarah Kaisi aka Shaa amepata shavu la kuwa jaji wa shindano kusaka vipaji vya kucheza la Sakata Mashariki.
Shaa ameungana na jaji kutoka Kenya aitwa Ian kwenye usaili wa Dar es Salaam uliofanyika Jumamosi hii. Kwa mwaka huu Sakata Mashariki iliyoanzishwa na kituo cha runinga cha Citizen cha Kenya, inashirikisha nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.
Haijafahamika kama Shaa ataendelea kuwa jaji katika mashindano hayo yatakayoendelea kufanyika jijini Nairobi pale vikundi mbalimbali kutoka nchini hizo tatu vikiaanza kushindana.
LABDA NI JAJI KWA AUDITIONS TZ KWANI KWA OFFICIAL PAGE YA SAKATA CITIZEN JUDGES HAJAORODHESHWA!
Umofia Kwenu wana JF,
Mwanamuziki wa Cocacola Pop Stars,Sarah Kaisi Alias Shaa amelamba shavu la kutangaza katika luninga ya Citizen katika kipindi kinachoenda kwa "Sakata Mashariki" kitakachoanza kuruka leo kuanzia saa nne usiku.
Inapatikana kwenye vile vitabu vya kujibia Mitihani ya Sekondari , Jamaa salamu yake inanikumbusha Lugalo Sekondari -Iringa , Kuna Viranja walikuwa wanasalimia hivyo Mstarini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.