The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,693
Pata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=
Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"
Wewe unasemaje hapo?
hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!

wewe muulize "ulikuwa nayo hiyo 2000?"
Hahahaha! Swali lako tamu sana....jinsia ya kike
Mkuu Mopao buku 2 kitu gani bana? Hiyo si ni bia moja tu? Mzuka ndio kwanza unaanza hapo, hahaha!Pata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=
Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"
Wewe unasemaje hapo?
hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!
Mkuu Mopao buku 2 kitu gani bana? Hiyo si ni bia moja tu? Mzuka ndio kwanza unaanza hapo, hahaha!
ugonjwa usababishwao na 'mean virus'! kaazi kwel kwel, acheni ubahili!
Unatumia bia gani mkuu? Unaweza kuagiza kabisa, mimi niko huku Mtwara tunajipongeza kwa ushindi wa gesi.Mkuu Mihambo...we ukinipa hata shilingi 2 tu nitashukuru sana, hapo wewe utajisikia ahueni moyoni mwako kuliko mimi kukukwaza wewe hata bila shukrani, bia moja tu itanitosha tu kwa msaada kama nataka kuongeza lingine nitaongeza kwa hela yangu hahahahaha!
Unatumia bia gani mkuu? Unaweza kuagiza kabisa, mimi niko huku Mtwara tunajipongeza kwa ushindi wa gesi.