Zitaenda maabara ipi ambayo si ya wezi?Tuache mawazo hasi. Kweli sampuli imetolewa bulyanhulu analysis imefanyiwa Australia nyumbani kwa wezi bado tunashabikia. Kuweni wapole hawa tunaenda nao taratibu .sampuli zitachukuliwa na zitapelekwa maabara na itakuwa man to man kwenye analysis na mtashuhudia majibu yatakayotoka.
...Acha ujuha wako, watanzania wana hasira na hao waliotufikisha hapo kwa mikataba ya kipuuzi na ulafi wa irresponsible leaders. Yaani ujinga mfanye nyinyi kwa ufisadi wenu halafu mnatuletea stori eti serikali ishindwe. Mfano mwingine wa ulafi wenu ni pesa za escrow si mligawana mchana kweupe? Halafu mnataka tuwaite wazalendo aarrghh!!!Watanzania bhana
... Yaani wanatamani wazungu washinde serikali ishindwe
Upo sahihi. Ni pale tu Sampuli zitakazochukuliwa kutoka kwenye makontena yaliyozuiliwa kwa pamoja na pande hizi mbili ndipo itajulikana nani ni msema ukweli.Tuache mawazo hasi. Kweli sampuli imetolewa bulyanhulu analysis imefanyiwa Australia nyumbani kwa wezi bado tunashabikia. Kuweni wapole hawa tunaenda nao taratibu .sampuli zitachukuliwa na zitapelekwa maabara na itakuwa man to man kwenye analysis na mtashuhudia majibu yatakayotoka.
Saaaafi.vibaraka hao.hata wakati afrika kusini wazalendo wakipigania uhuru.walikuwepo vibaraka wa wazungu.waliokuwa wamepewa kz ya kupambana na weusi wenzao njaaa.unafki ndio inayomsumbua tundu lissu na wenzie.lkn tutambue c wanachadema woote wanamuunga mkono tundu lissu.ni wachache tu wenye mtizamo fyongo na akili mbilikimoMakontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Prezdenti wetu ni mtaalamu wa miamba!!! Mumempa kazi ya siasa! Anatamani tujue kuwa yeye ni mtaalam wa miamba!!Mimi nadhani ile ripoti iliandaliwa kwa pamoja na mzee makinikia mwenyewe
Kwa uelewa wangu wa hizi kampuni kubwa ukiona wamejiamini kuweka data public hivi ujue wanajua wanachokifanya. Kampuni yenye employees 90,000 si kampuni ya kitoto hivyo rahisi ku-present forged figures. Unless, hizo barua zisiwe za kwao.Tuache mawazo hasi. Kweli sampuli imetolewa bulyanhulu analysis imefanyiwa Australia nyumbani kwa wezi bado tunashabikia. Kuweni wapole hawa tunaenda nao taratibu .sampuli zitachukuliwa na zitapelekwa maabara na itakuwa man to man kwenye analysis na mtashuhudia majibu yatakayotoka.
Kwa nini mnataka sifa kwa lisu lakini mnamuacha akiesababisha atc, nbc, ttcl, hiyo migodi kunyonywa kwa sera za uwekezaji? Tuendelefanya siasa kwenye maisha ya watu tunaona mwisho wake. Waziri anaenda saini mkataba nje ya boss wake kasema mkataba ni siri halafu we unakomaa na lisu. Miaka ijayo hii 15% ya helsb mtasema kaleta lisu. Tanzania yetu wote jamaniMakontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Makontaina yako bandarini kibaraka wewe makontaina waliyosafirisha ni mengi kuliko waliyodeclare. Wewe tulia acha wazalendo tupiganie chetu wewe na tundu lisu nendeni mkale makombo Ya vyakula vinavyoangushwa chini na waxungu wa accacia
Unachotaka Kusema ni kuwa mtu mkubwa huwa hajambi na akijamba ni vigumu kuprove kuwa kajamba.very poor reasoningKwa uelewa wangu wa hizi kampuni kubwa ukiona wamejiamini kuweka data public hivi ujue wanajua wanachokifanya. Kampuni yenye employees 90,000 si kampuni ya kitoto hivyo rahisi ku-present forged figures. Unless, hizo barua zisiwe za kwao.
Ndio mifano yenu ilikoishia humu; kujamba, kuchomeka uasherati nk. Nyie uvccm ni janga kuliko makinikia.Unachotaka Kusema ni kuwa mtu mkubwa huwa hajambi na akijamba ni vigumu kuprove kuwa kajamba
Mkuu acha hizo. Hata kama haumpendi Magu kwa hili ungenyamaza tu. Kwa jinsi kontena zilivyokosa seal ya TMAA baada ya kuchukua sample ya kupeleka lab ya SGS basi kuna uwezekano mchanga uliokuwa bandarini sio ule uliopimwa na SGS, aidha ulibadlishwa au ulichomekewa/changanywa na madini yaliyo onekana na tume ya Prof. Mruma. Ndio maana yamepatikana madini kwa aslimia kubwa sana ikapelekea tume ya pili kusema kilichokuwa kinasafirishwa sio mchanga bali madini kamili. Kuna mengi huyajui hayajasomwa pale hadharani kwa sababu mbalimbali hata Mruma alimwambia Mh.JPM siku ile wanamkabidhi report kuna mengi zaidi atayasoma na akiona inafaa ataitoa kwa umma uyajue yote.Mada iliyoko mezani ni assay na sio idadi ya makontena against alichosema mruma.
Povu jingi au bado usingizi haujakuisha?
Khaaaaaa sio JF niijuayo, too low mkubwa hembu tafakari unachokiongeaTatizo ni namna mruma alivyo mdanganya rais, repoti ya mruma ina mapungufu mengi sana kitalaam na hasa kwenye swala zima la 'grade & metal content estimation' leo hii ukimuuliza mruma ulizipataje zile data anaweza kujikojolea na kama si kujinyea kabisa. Hata kwenye mazungumzo jamaa waki propose swala la kuchukua sample upya ukweli ni kuwa rais na nchi kwa ujumla tutaumbuka vibaya, tunacho takiwa kukifanya kwa sasa ni 'kupoteza ushaidi' fasta, hayo makinikia tukayamwage au tuwagawie wachimbaji wadogo wadogo otherwise tutakuja kudondokea puz kwa maamuzi ya kukurupuka