and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Nyie wagalatia most of them ni wezi na mafisadi.Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Kwani dini pendwa ni ipi?Nyie wagalatia ni wezi na mafisadi.
tukuulize wewe!Kwani dini pendwa ni ipi?
Unawajuaje mkuu? Huwa unawauliza dini zao?Stesheni za Dar, Moro na Dodoma full wao tu
Ningejua nisingeuliza.tukuulize wewe!
We unajua zaidi kuliko Mimi mkuu!Ningejua nisingeuliza.
Sawa.We unajua zaidi kuliko Mimi mkuu!
Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aiseSi issue, kama ni wa Tanganyika.
Uaminifu ni kitu kingine bwana, mama yupo vizuriAisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Wa Zanzibar walituletea mtu tanganyika akaleta uzuni kwenye familia nyingi. Hatuwaamini tena.Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
Uaminifu ni kitu kingine bwana, mama yupo vizuri