SGR construction enters final stages in Nakuru.

Lol.....still.....your passenger trains = our freight trains.
Since ours is diesel the difference should have been much higher...

And FYI, kazi kuu ya hizi reli zetu ni kubeba mizigo, mwisho wa wa siku, our slower train zitabeba mizigo zaidi kuliko yenu !
 
Ni wazi kuwa sgr danganyika imekwama na mkandarasi karudi kwao hadi hela zipatikane tena...tunajenga kwa hela zetu :D:D:D
 
Ni wazi kuwa sgr danganyika imekwama na mkandarasi karudi kwao hadi hela zipatikane tena...tunajenga kwa hela zetu :D:D:D
Wewe unagongwa nini?
Follow Yapi Merkezi Tanzania on YouTube for monthly updates.
Hii hapa progress video ya February 2019. As you can see, ground is being cleared for the Dar es Salaam main passenger station. It will be QUITE A BEAUT!
 
Cicero unaongea juu ya FEBRUARY na tunaelekea APRIL? Hebu weka picha za MARCH wacha upuzi...bure kabisa.
 
So kutoka 2013-2019 mmejenga km 570 tu!! Bado unasifia kwamba pace ya ujenzi ni nzuri! Plan ya mwanzo ilibidi 2018 iwe mmefika Kigali. Ki ukweli huu mradi umechelewa sana mahesabu ya awali yamevurugika sana, kuna sehemu wakati wa planning vitu havikua sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
oh my God...sgr ilianzwa kujengwa 2013...hahaaaaa...ugua pole pole tu...
 
img_20190121_103408-jpeg.1001006
Ngoja nimtag Mwigulu Nchemba, kamwambieni kwamba kuna picha zingine mpya za SGR ya Kenya. Aje tutamuazima na hizi pia, akazitumie kumsifia Jiwe na kuwahadaa makada wa chama kwamba SGR ya Tz inakamilika wiki ijayo.
 
Hahahaaaa...Ati itakamilika wiki ijayo??...Danganyika ya Viwonder
Usicheze na huyo Mwigulu wao, wewe siunajionea mwenyewe alivotumia hizo picha za SGR ya Kenya akidai ni SGR ya Tz na inasonga kwa mwendo wa 4G. Kiongozi wa ngazi za juu kabisa serikalini, bila aibu. Hatakawia kuwahadaa pia kwamba mwezi ujao safari za treni ya SGR ya Tz zinaanza rasmi.
 
Cicero unaongea juu ya FEBRUARY na tunaelekea APRIL? Hebu weka picha za MARCH wacha upuzi...bure kabisa.
Video ya March inatoka April ya April inatoka May that's how it is najua inauma ila ndo ivo we are building night and day
 
Back
Top Bottom