SGR anzisheni kodi kwa abiria na Wasindikizaji

Nadhani umeamua kufanya utani
 
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Usafiri ni huduma si biashara
 
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Badala ya kupunguzia wananchi gharama za maisha wewe unataka waongezewe msalaba mwingine. Unatofauti Gani na shetani?
 
Back
Top Bottom