Elections 2010 SFO yakanusha Taarifa ya PCCB! Suala la Chenge bado halijaisha!

Hosea hajajiuzulu bado? Na Chenge bado anaendelea kugombea uspika na CCM bado wanaendelea kuzipitia fomu zake?


Utashangaa zaidi pale JK atakapo tangaza baraza la ke la mawaziri. CHENGE, waziri wa Sheria na katiba!!!
JK is undefinable creature on this earth!!!:rip:
 
Hivi TAKUKURU walitumwa na nani? Je hawa waliomsafisha chenge kwa kutudanganya watachukuliwa hatua gani? hapa nataka nione uwezo wa mkwere, Vinginevyo TAKUKURU itakuwa useless.
 
katika taarifa ya habari ya ITV jioni (2: PM) hii ubalozi wa Uingreza umeshangazwa na kitendo cha TAKUKURU kumsafisha chenge na kashfa ya Radar ili hali kesi hiyo haijafikishwa mahakamani

My take

Edward Hosea naomba uache kuwachezea Watanzania na ustep down immediately.

Haya majamaa yote yanafanaya kazi kama mbwa " No Thinking at all" are they qualified for the position they hold? sidhani kama watendaji wanatakiwa kuwa wanasiasa.

Poor Tanzania I can not forecast what is next
 
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake hapa Tanzania imesema, hadi sasa kesi hiyo haijafikishwa mahakami hivyo sio sahihi kumtuhumu au kumsafisha Chenge.
 
Hivi TAKUKURU walitumwa na nani? Je hawa waliomsafisha chenge kwa kutudanganya watachukuliwa hatua gani? hapa nataka nione uwezo wa mkwere, Vinginevyo TAKUKURU itakuwa useless.

Kuna mdau mmoja wa JF aliandika jana kuwa Takukuru walimsafisha Chenge kwa maji ya Garage kwa kweli hili limetimia.
 
Ubalozi wa uingereza umesema uchunguzi wa SFO kuhusu tuhuma za Chenge haujakamilika. Hivyo wamepinga taarifa ya TAKUKURU. WAKATI UMEFIKA KWA TAKUKURU KUWAJIBISHWA. KIMEKUWA NI KICHAKA CHA MAHUNI WANAOJINUFAISHA. Source: TBC1, MUDA MFUPI ULIOPITA
 
It's time for MP'S to Decide now who will be the Next Speaker of The United Republic of Tanzania.

On my point of view and For future Democratic Changes i think Hon. Mr. Andrew Chenge is the right person for the time being, i know a lot of people will be amazed with this astray opinion but this is what i see and it is the solution of all things we in Multipatism should think of and not the other than Chenge Andrew.

I repeat on this fade of the light in which we/they call night.... CHENGE is and will lead us to the Victory and not just victory but a never ending and Memorable victory for Demos Grate Believers...

Vote for Chenge and Speed up the Democratic Changes'

''Call a Spade a Spade''
 
Hivi TAKUKURU walitumwa na nani? Je hawa waliomsafisha chenge kwa kutudanganya watachukuliwa hatua gani? hapa nataka nione uwezo wa mkwere, Vinginevyo TAKUKURU itakuwa useless.

Takokuru na Mkwere ni haohao! hatua ipi?!
 
TAKUKURU + Tido Mhando wamekuwa wamekuwa mstari wa mbele sana kuwasafisha mafisadi wakati wao wenyewe ni wachafu na wameoza kwa ufisadi!
 
Sasa ndiyo ujue uongozi wa Tanzania umeoza. Huyo Tido alirudi toka London kama kibaraka na amekuwa kweli. Take my word -nchi haiwezi kuongozwa na mtu asiye na viwango kama JK.
 
PCCB+Hosea= Kikwete=NEC= Mahakama zote Tanzania= Jeshi la Wananchi+ Shimbo= Jeshi La Polisi

wote ni madudu! Yaani JK hakumaliza hata wiki kabla ya serikali kupata kashfa. Mpaka miaka mitano kuisha tutaona mengi! Uwiiiiii
 
Nafikiri kuna mengi zaid ya hapo ambayo yanefichwa na hawa jamaa zetu wanaojiita Takukuru kama kweli taharifa hiyo ya Ubalozini itakuwa ni sahihi. Vinginevyo tunawaomba wakanushe ama wakubali usahihi wa taarifa hiyo. Kumbusho Kovu Richmond bado tunalo kwenye mwili wetu
 
PressRelease-BHC.jpg


Wakati PCCB wamemshafisha Chenge kwenye kadhia ya Radar kuwa suala hilo limekwisha na Chenge hahusiki, SFO wenyewe wamekanusha kuisha kwa suala hilo na kueleza litatinga mahakama kuu ya Uingereza mwishoni mwa mwezi huu na huko ndiko suala litaamuliwa kama limekwisha au laa.

Taarifa kutoka ubalozi wa Uingereza kwa vyombo vya habari, umeweka wazi kila kitu kuwa kadhia hiyo bado haijakwisha.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kitu ambacho kimekubaliwa kuwa kimekwisha, ni uchunguzi dhidi ya kadhia hiyo ndio umemalizika baada ya BAE kukubali wamegawa rushwa, ila badala ya kuwataja waliowagawia, wamekubali kulipa faini ambayo serikali ya Tanzania, itarudishiwa lile fungu lililokamuliwa ili wakubwa wale.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya ubalozini, Mahakama ya Uingereza, inaweza kuamua kuwa hawakubali faini hiyo kulipwa, bali wakalazimisha lazima majina ya walarushwa yatajwe badala na kuzibwa midomo kwa faini na fidia, na kama itakuwa ndio hivyo, tuhuma za Chenge kwenye kadhia hiyo zinabaki kuwa bado ziko pale pale?.

Kama taarifa hii ya ubalozi wa Uingereza ni ya kweli, crdedibility ya PCCB yetu kwenye kuwasafisha mafisadi iko wapi?

PCCB ipo kisiasa zaidi. Wakati wa kura za maoni za CCM kuna watu PCCB ilikuwa hairuhusiwi kuwachunguza. Ilikuwa kama vile wana kinga. Rushwa wanatoa lakini hawashikwi.
 
Kwanini Hosea unaendelea kushika nafasi iliyokushinda? Step down and leave those with capacity to take responsibilities.
 
Mtuhumiwa wa mauwaji anaweza kupatikana hana hatia ingawa kesi ya mauwaji bado inaendelea. Mimi sioni tatizo kama Chenge amepetikana hausiki hata kama rushwa ya BAE bado iko mahakamani. Simaanishi kama PCCB hawajapika matokeo ya uchunguzi, natoa tu mawazo tofauti...pengine wote PCCB na Ubalozi wa Uingereza wako sawa.
 
Kila siku ovyo ovyo CCM na serikali yake, mapema madudu kibao, Rais anaona, PCCB wanacheza cheza, if is other countries Hoseah step down na case juu one day, quick, njoo TZ sielewi hilishetani kubwa kweli, yaani basi
 
Back
Top Bottom