SFO: Hivi ndivyo Chenge alihusika kashfa ya rada!

Unajua Shida yetu Watanzania tunasahaa Mapema. Yaani tukisha pewa vitenge, kofia, Tshirt na Vizawadi mbali mbali basi tunasahau Kashfa zote za Mafisadi. Na hapo ndipo mafisadi wanapata nafasi ya kujisafisha. Ndugu zangu wa TZ hebu tuwe tunweka kumbukumbu ile hawa mafisadi Watoweke kabisa katika nchi hii.
>>> Kwa Mfano hii leo LOWASA ameanza kusafishwa taratibu ili 2015 agombee urais hii ni AIBU sana
>>> Chenge alianza kusafishwa ili awe SPIKA wa Bunge tukamshtukia..CCM walivyoona tumejua janja yao wakajifanya kusema eti Bunge hili lazima Spika awe Mwanamke. Tumewasoma!!!! mwanamke mwenyewe mtetezi wa Mafisadi huyu MAKINDAKINDA!!!!!!!!!!!!!!!!!:tape:. Watanzania Wenzangu tusali sana maana nchi inakokwenda siko
>>> Watu wanaanza kusahau kashfa za Rostam na wengine
>>> Watu wanaanza Kusahau Mafisadi...?????????????????????

Mbona tunakuwa wepesi wa ku
 
tayari ameshaumbuka serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa Bongo imemuumbua na Takukuru huyu mkulu atoke tu it is toooooooooooo much
 
Kuna kijana aliwahi kwenda kufanya maintainance ya computer kwenye ofisi ya Chenge wakati huo akiwa AG, ilikuwa asubuhi siku ya jumamosi, basi wakati kijana anendelea na kazi yake, Chenge aliiingia akiwa anahema akavuta droo alafu akapumua pumzi ndefu! Kumbe alikuwa amesahau hela zake ofisini na droo hakuwa amefunga zilikuwa kama 50million. That was six years ago. Imagine mtu kusahau 50m!
 
i'm not conviced to believe kwamba anaweza kuweka 50m kwenye droo badara ya benki
 
Kaka unaongelea change ya soda!

Acheni malumbano ya kiasi cha fedha alicho nacho hoja mezani ni tuhuma nzito alizo nazo na huku TAKUKURU wanasema hana kesi ya kujibu . Swali ni TAKUKURU walitaka nini kitokeee? Je, kesho tuwaamini kwa taarifa nyingine? Dr.Hosea ana nia gani na taifa hili?
 
Kuna kijana aliwahi kwenda kufanya maintainance ya computer kwenye ofisi ya Chenge wakati huo akiwa AG, ilikuwa asubuhi siku ya jumamosi, basi wakati kijana anendelea na kazi yake, Chenge aliiingia akiwa anahema akavuta droo alafu akapumua pumzi ndefu! Kumbe alikuwa amesahau hela zake ofisini na droo hakuwa amefunga zilikuwa kama 50million. That was six years ago. Imagine mtu kusahau 50m!

Siyo rahisi kuweza kukisia fedha za kiasi ya 50 million kwa kuziona. Huo ni udaku tu.
 
Acheni malumbano ya kiasi cha fedha alicho nacho hoja mezani ni tuhuma nzito alizo nazo na huku TAKUKURU wanasema hana kesi ya kujibu . Swali ni TAKUKURU walitaka nini kitokeee? Je, kesho tuwaamini kwa taarifa nyingine? Dr.Hosea ana nia gani na taifa hili?

labda Dr.Hosea alikuwa anamsafisha kwa kuwa wote wanatoka sehemu moja.
Kwanza Hosea mwenyewe tu Fisadi.. Aondoke tu... Kiwete amwajibishe.. ila kwa kuwa wote ni wale wale hata huyo boss wake atakaa kimya tu.
haya bwana sis yetu macho na masikio
 
hadithi...hadithi.....!
hapo zamani za kale palitokea mtu mkuuubwaaaaaa......!
Basi akaenda akenda akaenda akaenda weeee mpaka akaenda......!
HIVI NIMEISHIA WAPI VILE......?
Ni kweli hata kikwete keshamsafisha wakati akienda akaenda akaenda na jk wakati huo ndie aliyekuwa waziri....
 
Back
Top Bottom