Sexual tensions.....Kuishinda.....

The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.

kwani house girl sio binadamu au hana sense organs,nae ana hisia pia.
 
Mnaongea with an open mind. Kila mmoja lazima afahamu mipaka yake ya kibinaadam.
Shetani akingilia kati wakati mnaongea mmhm akaikoleza hiyo tension ubinadamu utauzuiaje.Suluhisho kila ntu abaki na hisia zake japo mmoja atakuwa anamzoea zoea mwenzake hila ni ngumu kibinadamu.
 
The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.
Mamndenyi umenikumbusha mbali...
 
Mkishaambiana hisia zenu si ndio mtashindwa kuziepuka tena
 
Hiyo Mi naona ni ngumu sana ukizingatia haswa mi mwenyewe akili yangu inawaza hicho kitu masaa24 ntae pukaje.infact ni ngumu
 
Duuuh!! Mi sijui as haijawahi nitokea.
 
mimi naweza kumtamani mtu .namuwaza naimagine tupo pamoja yaani navusha navusha navusha ila nikimuona live...najuta nakuwa hata simpendi tena...

kuvusha ndo kufanyaje!?
 
Unamkwepa vipi shemeji mnaishi nyumba moja??huku Kaka yake ni mtu anaekujali kwa msimu
 
ni kujiendekeza tu, human being ana reasoning ndo maana hujisaidii vichakani au barabarani it is possible to avoid. Ukiamua kutumia Cerebrum vizur ni jambo rahis kabsaa
 
siwezi kutekeleza, siwezi kuwa na sexual tension naye, full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…