Sexual healing - marvin gaye - (1982)

Umenikumbusha mbali huu Wimbo..... One of the best oldies ever, hata kama you are down unaweza fall in love again kwa sauti ya jamaa the way inavyombembeleza ikiambatana na mafilingi... when listening you can always imagine he was singing for you... No wonder alikua anapenda saaana skirts.... In purple my favourate part not because of the words but because of the way he sings... the guy could sing....

"Sexual Healing" by Marvi Gaye

get up, get up, get up, get up
wake up, wake up, wake up, wake up

Ooh baby, now let's get down tonight

Baby I'm hot just like an oven
I need some lovin'
And baby, I can't hold it much longer
It's getting stronger and stronger

And when I get that feeling
I want Sexual Healing
Sexual Healing, oh baby
Makes me feel so fine
Helps to relieve my mind
Sexual Healing baby, is good for me
Sexual Healing is something that's good for me

Whenever blue tear drops are falling
And my emotional stability is leaving me
There is something I can do
I can get on the telephone and call you up baby, and
Honey I know you'll be there to heal me
The love you give to me will free me
If you don't know the thing you're dealing
Oh I can tell you, darling, that it's Sexual Healing

Get up, Get up, Get up, Get up - let's make love tonight
Wake up, Wake up, Wake up, Wake up - 'cos you do it right

Baby I got sick this morning
A sea was storming inside of me
Baby I think I'm capsizing
The waves are rising and rising

And when I get that feeling
I want Sexual Healing
Sexual Healing is good for me
Makes me feel so fine, it's such a rush
Helps to relieve the mind, and it's good for us
Sexual Healing, baby, it's good for me
Sexual Healing is something that's good for me
And it's good for me and it's so good to me
My baby ohhh

Come take control, just grab a hold
Of my body and mind soon we'll be making it
Honey, oh we're feeling fine
You're my medicine open up and let me in
Darling, you're so great
I can't wait for you to operate

(Heal me my darling)
I can't wait for you to operate

When I get this feeling,
I need sexual healing
oh when I get this feeling,
I need Sexual Healing,
I gotta have sexual healing, Darling
'cos I'm all alone
sexual healing, darling,
'till you come back home

Please don't procrastinate
It's not good to masturbate
 
Hapa unamenikumbusha Comodores na kibao chao Night Shift

Last edited by a moderator:
Hapa unamenikumbusha Comodores na kibao chao Night Shift

Kweli leo tumepatikana humu ndani... For some sexual healing a night shift is necessary... this group was good but najua tu nyimbo zao mbili...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: CPU
Kwa Marvin Gaye mie napendelea nyimbo 3 zaidi yaani:

1. Sexual Healing. 2. My love is waiting 3. Let's get on. Hizi waweza zote ziona ndani ya YOUTUBE.

Ila kwa wimbo wa NIGHT SHIFT, kwa sasa namhusudu sana huyu Dogo aitwaye BUSY SIGNAL kutoka Jamaica. Jamaa anaimba kisauti chembamba na mwisho anakushushia BASS huwa huamini kama ndiye mtu yuleyule......
Kali zaidi ni ile anzaji yake huu wimbo ambapo anatoa zile sauti za Waswahili kama anataka kusifia kitu kizuri..... Mhhh, ahhh, Mmmmm..... Hebu jaribu na wewe kumsikiliza na utowe Comments. Hapa kaunganisha na wimbo wa Phil Collins wa One more night.....

Last edited by a moderator:
Kweli leo tumepatikana humu ndani... For some sexual healing a night shift is necessary... this group was good but najua tu nyimbo zao mbili...

Daaah, umepatia kweli kuonganisha hizi nyimbo
 
Huu wimbo na upenda hasa pale nipokuwa niko lonely na kumisss mpenzi wangu waroho lakini si kwa wapitaji..

Sijui wewe huwa unakumbuka ukiwa wapi..

YouTube - SEXUAL HEALING - MARVIN GAYE - (1982)

Unanikumbusha miaka ya 1986 nikiwa tabora, nasoma gongoni primary school naishi nyamwezi street, kulikuwa na jamaa anaitwa adam fundikira alikuwa anafanya kazi posta na simu, alikuwa anapiga guitar na kuuimba wimbo huu vizuri tu, tulikuwa tunamuita adam marobot, alikuwa anacheza robot kama hana akili nzuri, ila dingi wangu alikuwa hapendi urafiki wetu, kwa sababu alikuwa mkubwa kwetu. Huyu alinifanya nikapenda kuandika nyimbo za kizungu na kuziimba, zimenisaidia sana kujifunza kimombo
 
Kwa Marvin Gaye mie napendelea nyimbo 3 zaidi yaani:

1. Sexual Healing. 2. My love is waiting 3. Let's get on. Hizi waweza zote ziona ndani ya YOUTUBE.

Ila kwa wimbo wa NIGHT SHIFT, kwa sasa namhusudu sana huyu Dogo aitwaye BUSY SIGNAL kutoka Jamaica. Jamaa anaimba kisauti chembamba na mwisho anakushushia BASS huwa huamini kama ndiye mtu yuleyule......
Kali zaidi ni ile anzaji yake huu wimbo ambapo anatoa zile sauti za Waswahili kama anataka kusifia kitu kizuri..... Mhhh, ahhh, Mmmmm..... Hebu jaribu na wewe kumsikiliza na utowe Comments. Hapa kaunganisha na wimbo wa Phil Collins wa One more night.....

Lets get it ooon...lets get it oooon!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana bibie.

Marvin Gaye alikuwa ni mtoto wa Mchungaji ambaye alikuwa kama mgonjwa fulani hivi. Kwanza akiwa ndani alikuwa akivaa nguo za mkewe. Pia alikuwa mpinzi sana kwa watoto wake kuwa Wanamuziki. Mwanzo waliimbia kanisani na hakuwa na matatizo ila walipoamua kusaka pesa basi ikaanza kuwa kasheshe.

Kuna wengine wanasema kuwa baba alikuwa akimpiga mama na hii kitu ilianza kuleta ugomvi kwenye familia maana Marvin alianza kupambana na baba kwa tabia hiyo. Baba MILELE alikuwa akitoa VITISHO kuwa, yeye ndiye aliyewaleta DUNIANI na anaweza kuwandoa DUNIANI kama akijisikia kufanya hivyo. Siku moja kweli akafanya kweli.

Marvin Gaye alikuwa na na mwimbaji aitwaye Nona Gaye..... ambaye alikuwa na nduguye. Katika maisha yake alikuwa na wake wawili huku wa kwanza akiwa kamzidi sana umri karibu miaka 18 ambaye alikuwa akiitwa Anna Gordy, dada yake Mzee Berry Gordy ambaye ndiye alikuwa OWNER wa MOTOWN Studio, huku mwenyewe akienda kuzaa na Diana Ross na Jermain Jackson kuowa mtoto wake.......

Maving Gaye na baba yake wote walianza ulevi wa Pombe na Marvin akienda hadi kwenye madawa. Baada ya kuzuka ugomvi na baba yake, baba alichukua bastola aliyopata kutoka kwa mwanaye huyo na kummaliza. Baba akala mvua tano...... Aliuawa siku moja kabla ya Birthday yake atimize miaka ............(Nimesahau).

Nona Gaye akiwa na baba yake wakitesa kwenye wimbo wa Taifa.......

Hivi ni ushoga??? Mi niliwahi sikia aliuwawa na babake coz alitoka na demu wa babake siku ya birthday yake in his fathers bed....
 
Last edited by a moderator:
Sana partner.....soon ungesikia tunatafutwa na maLEBEL ya ukweli watupe dili!!!

Partner hapa ni kuanza tu kutoa mistari kidogo kidogo... ngoja nimtumpie noorah hapa...

Tupeni dili tupeni dili masela... tukasake mahela....
 
Nyimbo nyingine muwe mnatumiana kwenye PM,mnaamsha tu hisia za watu deraest Lizzy & Asha....sijapendezwa......l.o.l:mimba:
 
Nyimbo nyingine muwe mnatumiana kwenye PM,mnaamsha tu hisia za watu deraest Lizzy & Asha....sijapendezwa......l.o.l:mimba:

Michelle dear unafikiri tulipenda basi... Sie tumekuta kitu tu kimetupiwa hapa.... Akaamusha hisia zooote... am telling you ilibidi nichomoke haraka hapa mana mambo yalikua yanaenda vibaya....

Uko poa lakini mpenzi?? Hope your day ilikua nzuri...
 
Nyimbo nyingine muwe mnatumiana kwenye PM,mnaamsha tu hisia za watu deraest Lizzy & Asha....sijapendezwa......l.o.l:mimba:

Daaaah
Inamaana hisia zako zinakurudisha kwenye hicho kikatuni ???
 
Michelle dear unafikiri tulipenda basi... Sie tumekuta kitu tu kimetupiwa hapa.... Akaamusha hisia zooote... am telling you ilibidi nichomoke haraka hapa mana mambo yalikua yanaenda vibaya....

Uko poa lakini mpenzi?? Hope your day ilikua nzuri...

How can my day be good while my living hero and his son might get arrested for war crimes?
i hate these pigs!
Back to topic: hisia nyingine yabidi ziamshwe kwa akili,watu wanaweza acha kufanya kazi wakabaki wana reflect wimbo...l.o.l
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom