Sexing through mobile calls & text

Sexing through mobile calls & text

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Bwana Yesu asifiwe!!!

Siku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.

Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.

STOP IT DON'T DO IT

Lakini pia si nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasababu tuu amesafiri.

That is the Demonic network.
 
Bora hata umesema... hiyo kitu si nzuri kabisa.. inaharibu fikra za wahusika
 
Heri mapenzi ya sms kuliko kuchepuka au kwenda kuchukua danguro likaja kukuachia Maradhi.

Something is better than something else.
 
Hahaha twaweza katika ubora wenu tena
 
Hamna lolote, yaani nyie walokole mnavimaisha vya upweke upweke na unafiki mwingi.

Mnaona fashion kusingizia kila starehe ni dhambi
 
..ebu tuambie aina Ya kuridhishana ambazo sio dhambi maana ukifanya sana dhambi,ukiacha umtendei haki mpenzi,ukimridhisha bila kuchepuka dhambi,ukichepuka dhambi,naisi hata kuandika message Ya hivi dhambi hii [emoji23][emoji23]
 
Tatzo kwann kufanya mapnz kwa njia ya cm??? Yaaan iyo ni sawa na kumtamani mtu kimapnz ambapo ni dhambi kwasbb unakua tayr umekwisha zini nae moyoni.
 
Bwana Yesu asifiwe!!!

Cku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.

Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.

STOP IT DON'T DO IT

Lakn pia c nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasbb tuu amesafiri.

That is the Demonic network.
Du.....sex charts hawapati mimba.
Hapo jamaa akitoka anaanza kupiga puli ili afike panapo husika.
Yule binti....... Atatafuta hata katoto kamkojoze tuu..... Akamilishe.

Xo ni hatari kwa afya yako
 
Ukichunguza kila kitu.. hata nguo unazo vaa siyo sawa.. umezaliwa uchi.. ishi uchi... siyo sawa kuvaa nguo...
 
Bwana Yesu asifiwe!!!

Cku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.

Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.

STOP IT DON'T DO IT

Lakn pia c nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasbb tuu amesafiri.

That is the Demonic network.
Sasa kama ni mme na mke udhambi wake upoje hapo?? Umeongea na hubby wako mpaka mkaanza vijilovie davie...mzuka ukipanda kuna dhambi gani hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom