Sexing through mobile calls & text

hivi kwa nn watu waliokoka kila kitu kwenu kibaya mm napenda sex phone sio siri mr akiwa mbali na mm eb acheni kututisha
 
Bwana Yesu asifiwe!!!

Siku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.

Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chatisana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.

STOP IT DON'T DO IT

Lakini pia si nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasababu tuu amesafiri.

That is the Demonic network.
..Mnafanya dini Ionekane mzigo sana,kuliko kuFOCUS kupoint kilicho na kisicho dhambi toeni njia mbadala za kuepuka hii Hali,sio kuConclude kuwa tuache
 
Back
Top Bottom