for sure,kama lengo lingekua ni kuzaliana pekee, kwa ninavyofikiri, hayo mambo mengine yasingekuwepo! Daaah!
Word!!interesting indeed,
mwaka 1988 wakati najifunza baioloji... nilisoma mengi yenye maswali, mwaka 1995 wakati nasoma physiology, pia niliona mengi yenye maswali
My comment ni - philosophers, scientists and great innovators have always been very creative "to reach God's capacity", which will never happen.
Sex and sexuality, orgasm, reproductivity etc roll as you want them to when it comes to thinking, its like rolling dices for those who like related games.
I wouldnt dwell much coz if we want to be rational, then we would ask zimmer about wet vagina, deep situated ovaries, menstrual cycle with blood, primitive situating of testicles outside the body (knkowing the delicacy and sensitivity), women breasts and role in sex, fellatio, cunnilingus, pregnancy etc
Once you swim in theorists and "innovators" you are bound to clash with lots of reality
The choice is yours
I love sex to the core, and no matter how primitive and "defunct" it is, i would not trade it with any pleasure in this world!!
yaa mimba ni mafanikio ya mungu na ni uwezo wa mungu so mungu ndio ameumba ivyo sex ni kuzaliana na kustarehehebu fikiri mimba miezi tisa and sperms are produced in billions per month.... and we think of "moja kwa kila tendo"
Word!!
na kutoa mimba kwa msichana ni kawaida kwasababu inakuwa ni baati mbaya inakuwa sio matarajio yake au sababu maalum zmempelekea kutoa,mbona ata wanandoa wanatoa mimba.
mkuu hebu fikiria kama lengo ni kuzaa tufor sure,kama lengo lingekua ni kuzaliana pekee, kwa ninavyofikiri, hayo mambo mengine yasingekuwepo! Daaah!
Hahahaha!!! Cousin MTM knows me better lol!!!!tatizo lako TF wewe Sex yako ina utata kabisa....
Hahahaha!!! Cousin you just made my day lol!!!mkuu hebu fikiria kama lengo ni kuzaa tu
una mke mmoja, anapata mimba na kukaa miezi tisa, then anazaa, then you need a couple of months kuweka mambo sawa, kunyonyesha na pia cycle yake iwe vizuri, halafu ndio unachapa tena, anapata mimba.
kwa nalysis hii, mwanaume mwenye miaka 30 anaweza akawa amechapa only 12 time tangu azaliwe assuming kwamba amebalehe akiwa na miaka 18
is this realistic aisee??
if not, then mwanaume mmoja hakuumbiwa mwanamke mmoja, au labda Mungu alichemsha kutuma mabilioni ya sperms ndani ya mwezi mmoja, au pia kulikua na kosa kwani mwanaume mmoja hudinda average ya mara tisa akiwa amelala usingizi wa kawaida
I AM JUST THINKING ALOUD
AISEE............:smow:
...... 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
that's my girl!!!!Hiyo dhana nzima ya kuwa sex ni kwa ajili ya kuzaliana tu sikubaliani nayo na wala haijawahi kunipitikia kichwani mwangu.
Sex ni staarehe kuzaliana ni matokeo tu
Haahhaha....wifi swali lilitakiwa kua nimelalaje!?Lolzz...ujumbe wake nadhani amepata..na yeye eti ndo alianzisha hii topic.Sijui katosheka au kapata starehe nyingine....?!wifi umeamkaje? msalimie kaka,lol! muambie asilete za evolution, siku hizi tunaongelea ovulation:mimba::mimba:
Thank you for enjoying sex!!!!:dance:Well sasa hivi ni starehe kama wengine...ila tusingekua tunaifurahia nadhani wangekosa sababu..sasa sijui ingekuaje kwa upande wao!!