Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Weekend Mode!
Hakika hakuna asiyejua kuwa ktk kufanya mapenzi na mwenza wako maranyingi huendana na vimipasho flani au maneno mchombezo katika kusindikiza safari yenu ya utamu ifike kileleni.
Lakn pia maranyingine hutokea wapenzi kuahidia mambo mbalimbali wakati wamemaliza kusex mda mfupi uliopita au wakiwa katika harakat za kuanza mechi yao ndipo ahadi za hapa na pale hutokea.
Je maranyingi huwa ni ahadi hewa au ahadi za kweli?
Tupeane uzoefu hapa kama uliwahi kuahidi kitu katika kipnd hcho na kutekeleza au uliahidiwa katika kipnd hocho na kutekelezewa?
Sent using Jamii Forums mobile app