Sex Workers wasiingililiwe kwenye majukumu yao

Hii nchi kuelewa inaendeshwaje ni kazi sana. Mtaani kwetu kuna dangulo na wamewekewa atm ya ndom ila kuna kipindi unakuta askari wanavamia pale wanawakamata hawa wauza nyau. Nisichokielewa ni ikiwa hawaruhusiwi kuuza imekuwaje wamewekewa atm ya kondom na kila zikiisha matron wa wauza k anatoa taarifa mamlaka zinawaletea tena kondom
 
ngono zembe, uasherati, na umalaya ni maneno matatu tofauti

kuhalalishwa kwa umalaya, hakutafanya hayo maneno mengine yapoteze maana, kuna wanajamii wachache hawatojali, waliopinda kimaadili kwa muktadha wa maadili ya kitz

kuhalalisha umalaya ni kama pombe, sigara zilivyohalalishwa, au bangi kwenye nchi zingine
Ok mkuu. Upo sahihi.
 
Ngono zembe n laana kwenye jamii inabid idhibitiwe nchi itapata laana na majanga kama itakuwa inafanyike ovyo dini zote imekataza hii ishu
Mbona Canada , Marekani ,uingereza hawana laana? Kama kigezo ndo hicho basi somalia ingekuwa Haina laana au Sudan au Palestine manake madhila wanayopitia ni laana tosha
 
Mnazidi kuiongezea mzigo serikali kwa kununua ARV kila mwaka pia mnaua nguvu kazi na kusambaratisha familia hamuoni? Pia nchi inaingia kwenye laana,unataka yatukute ya Sodoma na Gomora? Huo ni mpango kamili wa shetani kuua vizazi na kuleta laana duniani.
Kuuza mwili siyo kazi halali na kazi ili ihesabike ni kazi lazima iwe na uhalali na iendane na mila na miiko ya jamii.
Hapa nchini kwetu HAIKUBALIKI!!!
Tuonyeshe historical evidence ya Sodom na Gomorrah...Ile ni hadithi tu Kama Alfa lela ulela...kama disasters zipo kila nchi hata mecca Kuna mafuriko so ni mambo natural sio laana cjui Nini...ishi maisha yako usipende kutafuta watu wakulaumu..kama mungu unayeamini anaweza choma mji mzima kisa kuingiza shimo tofauti huyo mungu wako ndo jau
 
Hizi sheria zinatofautiana kati ya jimbo na jimbo kuna majimbo yametoa vibali. Mfano jimbo la nevada kuna sehemu imeruhusiwa.
Sawa prostitution imezuiwa coz hawezi kuwa regulated ..Kuna abuse, trafficking, bangi, watoto, magonjwa etc...ndo maana nchi nyingi zinajaribu kuregulate...shida inakuja huwezi kutofautisha demu anaedanga kwa hela na malaya
 
Mbona Canada , Marekani ,uingereza hawana laana? Kama kigezo ndo hicho basi somalia ingekuwa Haina laana au Sudan au Palestine manake madhila wanayopitia ni laana tosha
Christian and Muslim countries Kwa hoja yake zingekuwa blessed na developed, na kwenye dini ukichunguza vizuri ndo Kuna kiwango kikubwa Cha unafiki kuliko wasiosali, logically huwez muamulia mtu njia ya kuchagua anaamua yeye! Asisumbue tu wengine
 
Ni vyema Watanzania mkajifunza kubadili hii perspective.

Wadada wanaojiuza wanauza huduma ya sex, na wanunuzi wa hiyo service wapo; kuna shida gani hawa watu wakiwekewa mazingira rafiki.

Kuna mtu analazimishwa kununua huduma ya Sex?

Kila mtu anafanya under principal of autonomy. Ninahitaji huduma ya sex , we negotiate and agreed for the service , I pay , je shida ipo wapi?

Sex workers kupitia hizo service wana somesha watoto zao private schools , wanalipa rent na kujipatia chakula sambamba na kuendeleza familia.

Wapo Sex workers ambao wameolewa, yaani ni married na husband anajua kazi ya wife and life goes on ……

wabongo mnatakiwa kuitazama dunia kama jinsi ilivyo na sio kama unavyoidhania. The world has a lot to learn

Huwa napata hard time kuona kiongozi na mdomo wake mpana anatoa tamko hasi dhidi ya hawa watu kwa sababu tu yeye yupo kwa kiyoyozi, mbaya zaidi anatoa tamko bila hata ya kuja na alternative pamoja na kuwawezesha.

Shida kubwa Tanzania inaongozwa na failures kwenye Academic.

Wadada wanaojiuza wapewe uhuru wa kufanya kazi zao sambamba na serikali kuangalia namna ya kukusanya kodi kama ilivyokuwa kwa machinga enzi ya JPM.

Ili wasibugudhiwe , biashara ihalalishwe na walipe kodi.
Yes walipe kodi, otherwise is nothing but kujaribu kuhalalisha jambo ambalo si zuri kwenye jamii
 
Watu wa Serekalini wanagonga sana Malaya wanawagonga sana Malaya, Malaya ni wengi sana naomba sensa ijayo Serekali ichukue sensa na idadi ya Malaya tujue idadi kamili usijekushangaa kwenye million 60 45 ni Malaya tupu
Nina video ya watu wawili wakubwa Sana katika taifa hili wakifanya Mambo machafu LIVE na Malaya. Nizipost humu au niache?
Nikizipost Kuna ndoa itavunjika na Kuna mwingine atajiuzulu.
Semeni niwekelee?
 
Christian and Muslim countries Kwa hoja yake zingekuwa blessed na developed, na kwenye dini ukichunguza vizuri ndo Kuna kiwango kikubwa Cha unafiki kuliko wasiosali, logically huwez muamulia mtu njia ya kuchagua anaamua yeye! Asisumbue tu wengine
Sahihi kbsa
 
We Kama unanunua we nunua tu,kelele nyingii wakati hao unaowaita sex worker hawajajificha wala kufichwa popote hata mkeo umemwona.Ukimwi upo Sawa lakini ndiyo wasitoe onyo ngono Zembe kwa sababu dawa za bure zipo?
Mwanaume hata kama amelewa akienda kununua mwanamke kwenye danguro akili inamrudi na kuvaa kondomu kwa hofu ya kupata UKIMWI. Halafu hao wanawake sijui wamepewa elimu, yaani hawakubali kabisa peku.

Hao wanawake ni salam sana kuliko wadangaji wa mtaani ambaye mnapima hana UKIMWI, lakini anaupata mbele ya safari.

Kwenye danguro ukipiga kimoja kwa kondomu huo UKIMWI unaupataje hata kama sex worker anao?
 
UKIMWI tunapata kwa mademu na wake zetu kwa malaya ni ngumu sana kuungwa grid ya taifa
 
We Kama unanunua we nunua tu,kelele nyingii wakati hao unaowaita sex worker hawajajificha wala kufichwa popote hata mkeo umemwona.Ukimwi upo Sawa lakini ndiyo wasitoe onyo ngono Zembe kwa sababu dawa za bure zipo?
Kwa nini watukamateeeee watejaaa na wawavunjie ofisi zao watoa huduma wetu...!?? Wanaweza kwenda kuvunja ofisi za watoa huduma wengine kama Voda,tazara nao si watoa huduma....
 
Mwanaume hata kama amelewa akienda kununua mwanamke kwenye danguro akili inamrudi na kuvaa kondomu kwa hofu ya kupata UKIMWI. Halafu hao wanawake sijui wamepewa elimu, yaani hawakubali kabisa peku.

Hao wanawake ni salam sana kuliko wadangaji wa mtaani ambaye mnapima hana UKIMWI, lakini anaupata mbele ya safari.

Kwenye danguro ukipiga kimoja kwa kondomu huo UKIMWI unaupataje hata kama sex worker anao?

Huko maofisini na kwenye siasa na mtaani wanachunguliana kavu kavu. Chupi mkononi

Sex workers wapo makini sababu wanajua risky ya kazi yao
 
Huko maofisini na kwenye siasa na mtaani wanachunguliana kavu kavu. Chupi mkononi

Sex workers wapo makini sababu wanajua risky ya kazi yao
Kweli kabisa. Michepuko ya mtaani ni risky sana kuliko hata hao sex workers.

Niliishawahi kuagiza sex worker online wa kutoka kituoni na kuja loji.

Kuonesha umakini, alikuja na kondomu za kutosha kwenye pochi. Nikawa namtest nipige peku alikuwa mkali kama pilipili na yeye ndio mstari wa mbele kunivalisha kondomu. Sasa unafikiri mchepuko wa mtaani una huo muda wa kuwaza kondomu ikiwa umeishakutana naye mara moja!

Kasoro kubwa ya hao sex workers ni kwamba, unaweza kumnunua kutokana na umbile zuri kwa nje lakini nyuch ikawa kubwa kidogo na hapo ameishachukua hela katia kwenye pochi, hairudi hiyo hela.
 
Kweli . Kuna hawa huku wazungu

Nilitaka siku moja nimchungulie peku peku ; aisee alistuka halafu akaniangalia unataka nikuitea polisi maana unataka fanya against makubaliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom