Sex Workers wasiingililiwe kwenye majukumu yao

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,259
4,111
Ni vyema Watanzania mkajifunza kubadili hii perspective.

Wadada wanaojiuza wanauza huduma ya sex, na wanunuzi wa hiyo service wapo; kuna shida gani hawa watu wakiwekewa mazingira rafiki.

Kuna mtu analazimishwa kununua huduma ya Sex?

Kila mtu anafanya under principal of autonomy. Ninahitaji huduma ya sex , we negotiate and agreed for the service , I pay , je shida ipo wapi?

Sex workers kupitia hizo service wana somesha watoto zao private schools , wanalipa rent na kujipatia chakula sambamba na kuendeleza familia.

Wapo Sex workers ambao wameolewa, yaani ni married na husband anajua kazi ya wife and life goes on ……

wabongo mnatakiwa kuitazama dunia kama jinsi ilivyo na sio kama unavyoidhania. The world has a lot to learn

Huwa napata hard time kuona kiongozi na mdomo wake mpana anatoa tamko hasi dhidi ya hawa watu kwa sababu tu yeye yupo kwa kiyoyozi, mbaya zaidi anatoa tamko bila hata ya kuja na alternative pamoja na kuwawezesha.

Shida kubwa Tanzania inaongozwa na failures kwenye Academic.

Wadada wanaojiuza wapewe uhuru wa kufanya kazi zao sambamba na serikali kuangalia namna ya kukusanya kodi kama ilivyokuwa kwa machinga enzi ya JPM.
 
We Kama unanunua we nunua tu,kelele nyingii wakati hao unaowaita sex worker hawajajificha wala kufichwa popote hata mkeo umemwona.Ukimwi upo Sawa lakini ndiyo wasitoe onyo ngono Zembe kwa sababu dawa za bure zipo?

Sex workers inasababisha Ukimwi?

Nimefanya kazi kwenye kitengo cha Ukimwi na TB , na nimefanya research kwenye eneo hilo kwa miaka almost 7.

Cases nyingi za HIV positive ni married couple who claims to be faithful to their partner , ikifuatiwa na vijana na wazee.

Sex workers rate yao ipo kwenye ratio ndogo sana. Tena I tell you hakuna watu makini kama
Sex workers linapokuja suala la sex na protected sex , kuliko nyie mnaochepuka na kuuza mechi kila siku
 
Most notably groups ni age 19-29 ambayo inatoa rate kubwa sana ya maambukizi mapya kwa mwaka. Na kikundi hiki elimu sio jibu, ukimwi hapo unapungua kwa Economic empowerment/ skills programs. Prostitutes ni KVP lakini wanachunga sana matumizi ya kondomu. Lakini sio sababu ya kuwaangalia tu, mana African moral codes haziwatambui (Deviants).
 
Yes kwenye incidence rate , age of 19 to 29 wapo kwenye high risk kwa sababu ya different factors
African Moral Codes ni culture conditioning , dunia inabadilika
 
Ni vyema Watanzania mkajifunza kubadili hii perspective.

Wadada wanaojiuza wanauza huduma ya sex, na wanunuzi wa hiyo service wapo; kuna shida gani hawa watu wakiwekewa mazingira rafiki.

Kuna mtu analazimishwa kununua huduma ya Sex?

Kila mtu anafanya under principal of autonomy. Ninahitaji huduma ya sex , we negotiate and agreed for the service , I pay , je shida ipo wapi?

Sex workers kupitia hizo service wana somesha watoto zao private schools , wanalipa rent na kujipatia chakula sambamba na kuendeleza familia.

Wapo Sex workers ambao wameolewa, yaani ni married na husband anajua kazi ya wife and life goes on ……

wabongo mnatakiwa kuitazama dunia kama jinsi ilivyo na sio kama unavyoidhania. The world has a lot to learn

Huwa napata hard time kuona kiongozi na mdomo wake mpana anatoa tamko hasi dhidi ya hawa watu kwa sababu tu yeye yupo kwa kiyoyozi, mbaya zaidi anatoa tamko bila hata ya kuja na alternative pamoja na kuwawezesha.

Shida kubwa Tanzania inaongozwa na failures kwenye Academic.

Wadada wanaojiuza wapewe uhuru wa kufanya kazi zao sambamba na serikali kuangalia namna ya kukusanya kodi kama ilivyokuwa kwa machinga enzi ya JPM.
waruhusiwe na watozwe kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii dunia hakuna jipya. Huenda kuna kipindi binadamu alikuwa huru kufanya ngono popote hata mtaani, mama na mtoto, binadamu na mnyama n.k

Ukishaona makatazo ujue kuna jambo zito lilishamkuta binadamu hapo nyuma. Makatazo huwa hayaji tu.

Nature ina tabia moja, msipojidhibiti inawadhibiti. Dunia nzima tuanze kufanya ngono holela bila udhibiti wowote, nature itaingilia kati.
 
Irasimishwe na wawe na maeneo maalumu, 24 x 360 days
Kuna baadhi ya nchi wanalipa kodi kabsaaa (uwe mgeni ama mwenyeji wafanya huduma ya sex), na haruhusiwi kutoka njee ya maeneo rasmi ya biashara zao na kwenda fanya kwingine .... kila baada ya miezi kadhaa polisi wanapita na kukagua leseni/hati za kusafiria
 
Upo kwenye comfort zone sana ndugu na kwenye sandwich ya ajabu

Kauli kama
< Ukishaona makatazo ujue kuna jambo kubwa>
Ni very low thinking capacity na kushindwa kuufikirisha bongo
 
That is it !

Unajua shida ni moja.

Mfano zamani mtoto wa kike akipata mimba, anafukuzwa shule…, mwanaume anaendelea na shule!
Unaona kabisa maamuzi kama haya hufanywa na failures kwenye Academic but have politisions za decision making

Unaenda kumkamata Sex Worker as a service providers, vipi ambao wanao receive hiyo huduma? Where do we draw the line

Kuna maeneo mengi sana government inaweza kupata kodi nyingi. Ingewasaidia kutoa hayo matozo yao ya mchongo

Yaani watz ni wanafiki, asilimia kubwa ya watu both male and female hawawezi ishi na mpenzi 1 . Mke wa mtu but anamichepuko zaidi ya 3 na wote anawapa huduma

Huko kwenye siasa ndio umalaya umejaa, wanawake wengi waliofika peak position wametumika mno. Na wanaume wengine wametumika pia.

Huo ni udangaji sio udangaji. It is higher time
Tuwe realistic
 
Ngono zembe n laana kwenye jamii inabid idhibitiwe nchi itapata laana na majanga kama itakuwa inafanyike ovyo dini zote imekataza hii ishu

Laana ni projection ya mind yako. Hizi dini unazozitaja ni chanzo mauaji na unyanyasaji hapa duniani. Hizo dini pia ni aina nyingine ya laana

Nikianzisha mjadala kati Muslim na xtian hapa mtauana, dini inavutia fujo utengano na umwagaji damu

Ni laana sio laana?

Dini hazijamwaga damu ?

Dini hazileti Chuki ?
So stop hiyo mental slavery kijana
 
Upo kwenye comfort zone sana ndugu na kwenye sandwich ya ajabu

Kauli kama
< Ukishaona makatazo ujue kuna jambo kubwa>
Ni very low thinking capacity na kushindwa kuufikirisha bongo
Una tatizo la kutumia nguvu kubwa kwenye jambo dogo. Yaani hapo unataka kufanya analysis ya katazo la ngono holela ili uonekane una akili kubwa.

Huitaji akili kubwa kuelewa kwanini ngono holela inadhibitiwa na binadamu. Just a simple mind hata ya mnyama inaweza hitimisha hilo.
 
Sex workers ni ngono holela?

Labda tuanze na definition ya ngono holela

Inawezekana tuna elewa tofauti

Kwangu mimi Sex Workers sio ngono holela!
Tuanzie hapo
 
Ngono holela ni ngono isiyo na udhibiti. Yaani inafanyika vyovyote, popote bila udhibiti wowote. Iwe kwa malipo au bure.

Katika jamii yetu udhibiti wa ufanyaji ngono upo kwa njia ya ndoa(Tafsiri ya ndoa ipo wazi) au makubaliano ya watu wazima kwa siri.(Uzinzi)

Hao unaowaita sex workers wana sifa za uholela kwa tafsiri hii niliyotoa?
 
Kwa tafsiri yako hawana hiyo sifa and i advice you ku revisit definition ya sex workers

And I am surprised kusikia kuwa udhibiti wa ngono holela upo kwa njia ya ndoa, Mzee una review kweli unachoandika au ni fantasy tu

Ndoa imeenda kudhibiti ngono holela

Explain how in a practical sense na sio theoretically!
 
Nakataa ndoa haiwezi kua udhibiti wa ngono holela... Watu wapo kwenye ndoa na Wana michepuko hata Saba... Siku hizi hata wanawake walioolewa Wana michepuko Tena Wana vijana wanawalea kwa AJILI ya kufanya ngono holela.

Sex workers wakipewa eneo na restrictions na utaratibi Fulani, mfano wakawa wanafanya kazi hiyo kwenye maeneo hayo hayo na sio nje ya hapo, na wakawa na mfumo utakaowatambua..wakawa wanatembelewa na kupewa elimu ya ngono salama.. wakalipia leseni na kodi hiyo haitakuwa ngono holela, tena itakuwa ni salama kwao na kwa wateja... Serikali Ina jukumu la kulinda usalama WA Kila raiabwake wakiwemo hawa sex workers.... Acha watu wakahukumiwe na Mungu wao

Binafsi Mimi nadhani tafsiri ya kuzini ni kua ndani ya ndoa na ukalala/lalwa nje ya ndoa... Lkn sex workers hazini yule ni service provider.. kama voda hivi au spa ama hospital
 
Kwa tafsiri yako hawana hiyo sifa and i advice you ku revisit definition ya sex workers

And I am surprised kusikia kuwa udhibiti wa ngono holela upo kwa njia ya ndoa, Mzee una review kweli unachoandika au ni fantasy tu

Ndoa imeenda kudhibiti ngono holela

Explain how in a practical sense na sio theoretically!
Ngono halali kisheria kwa Tanzania ni ile inayohusisha wanandoa. Kama unadhani nimepuyanga chukua mwanamke kwa nia ya kufanya naye ngono halafu apatwe na tatizo linalohitaji kutolea maelezo kwenye mamlaka uende na hadithi zako za kiingereza za sex workers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom