Mwalimu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,581
- 1,069
Ndiyo! Sehemu kubwa watalii wanaofanya mambo kama haya ni maiskni au low income huko kwao, watu middle class mara nyingi ni watu wastaarabu wana familia zao na mara chache sana hufanya mambo kama hayo hata hiyo clip anasema huyo mama hapo kwamba huko Ulaya wanawake waliokosa waume hawathaminiwi tena na jamii yao huko lkn wakija Afrika (Kenya) ile rangi nyeupe inatosha kuwafanya Miungu watu na wanagombaniwa!
Hi ndio shida ya division 5... hata hujui unachoongea! Kama ni low income wanapewa sex bure? Nani kakudanganya?
Wanaochukua malaya pale ohio street usiku na magari nao ni masikini?