mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 908
Wana JF naomba msaada weu, mimi na mke wangu tupo katika mchakato wa kutafuta mtoto wa tatu, lakini sasa toka tuanze mchakato huo tumekuwa na debate kwamba kuna style hazifai kutafutia mtoto..Mi binafsi ni mpenzi wa style za kubinjuka, yaani kabla sijacome, ni lazima niwe nimesha cheza style kama tano hivi. Shida kwa kipindi hiki ni kuwa mke wangu anasema style hizo ni za kujifurahisha tu, bali style muafaka kwa ajili ya mtoto ni kifo cha mende, yaani "me on top". Anadai style ya kifo cha mende ina afford deeper penetration na sperms zinaiingia deeper ili ku support fertilization. Hii ina maana wakati wote tunatafuta mtoto hiyo ndo style itakayokuwa inatumika. Wadau nisaidieni ni kweli style zingine za kubinjuana ambazo mke wangu anasema ni za kujifurahusha tu na hazifai kutafutia mtoto ila style ya kifo cha mende tu.?????!!!!!