Sex na adventures

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Hii post naandika nikiwa nimetulia baada ya kurudi kutoka vacation ambapo niliona nimeenda kupumnzika ila badala yake ndio nimefanya kazi kubwa kuliko na kurudi kupumnzika nyumbani na sio tena sehemu nilio enda kutembea.

Ni sehemu moja tulivu sana na ina maandhari asili sana kwa ni sehemu ambayo bado inajitafuta ila imetulia sana.

Kama kawaida mimi na wadau wangu wa nne tukiwa na kila mtu na demu wake. Hao tukajizoa hadi huko nje ya mji tuliko kusudia kutembea kama ku refresh.

Tuliacha kubeba vyakula tukijua huko kila kitu kipo ni mwendo wa kununua tu.

Kumbe hesabu zetu zilikua sio kufika Kule tuka talii na kuanza kuogelea kama sehemu ya kufanyia hitimisho. Njaa ikaanza kutuuma tukamcheki mwenyeji wetu tukamuuliza kuhusu chakula akadai chakula cha chap hapa ni ugali na mboga za majani . Kwenye mboga za majani tukakosa viungo ila yeye alisema tuchemshe tu na chumvi ipo warembo wote walistuka yaani tule ugali na chukuchuku .

Tukamuuliza nyama vipi akasema labda atutafutie kuku tukasema sawa, hesabu za chap tukanunua kuku 6 na kuwachinja na kuwaandaa .

Maandalizi yenyewe ilikua tu wanachemshwa na chumvi basi kweli wakachemshwa na kuungwa chumvi tu. Na tukapata mayai 30 yote tukayapika kwa pamoja.

Aisee lilitolewa bonge moja la ugali wa yale mahindi ambayo yanaoteshwa bila kugusa hata dawa yaani ugali wake ni mtamu wa huku mjini ukasome kama kwenye picha hapo.

Basi tulikula tulishiba na kubakiza , ndugu zangu hawa wanawake ni wewe tu umeendaje....! Kifupi tulikua na pisi za kali kabisa zile za kisasa ila hamuwezi Amini zilikula huo ugali kama hazina akili nzuri ila ukikutana nayo town itakuambia kwao chakula chao ni baga na piza .

Basi baada ya kula na kupata nguvu kila raia akajikusanya na demu wake na kuanza kucheza cheza na story za jumla zikiendelea ziluzo pelekea watu tukaanza kutinduana ...aisee tulitinduana sana kwa hisani ya ugali wa dona asili na mchemsho wa kuku plus mayai in average kila pea walitunduana bao tatu . Alafu ilikua porini aisee kuna hewa safi kaubaridi utulivu we acha kifupi hii lazima irudiwe maana tulijihisi tupo edeni kabisa.

NB
Huku mjini hakuna ishu ni karaha tu jaman kila kona kelele za bodaboda na bajaji magari hewa chafu . Vijana kuweni wabunifu.

#Waacheni tu vijana wa Bush wapende mapenzi maana vyakula vya Bush ni noma
20230605_165133.jpg
 
Hizo BAO tatu tatu tunahakikisha vipi mkuu?na hizo pisi zitakuwa mbovu tu,kama zilikula huo ugali.Pisi Kali zinatakiwa zijue na kuvunga sio kila kitu zinafukia,at least ungesema zilidokoa kuku kwa mbaaaali.Anyway bonge la dongo.
 
#Waacheni tu vijana wa Bush wapende mapenzi maana vyakula vya Bush ni nomaView attachment 2647023
Mojawapo ya faida za misitu kwako
 
Hizo BAO tatu tatu tunahakikisha vipi mkuu?na hizo pisi zitakuwa mbovu tu,kama zilikula huo ugali.Pisi Kali zinatakiwa zijue na kuvunga sio kila kitu zinafukia,at least ungesema zilidokoa kuku kwa mbaaaali.Anyway bonge la dongo.
Watu kama nyie ndio mnafanya pisi zijifanyishe hazitumii ugali mzee hao mademu mbona ume wa overrate sana ....? Mzee hawa mademu ndio hawa hawa tulikua tunachezea nao matope, ndio hawa hawa tulikua tunamegeana pipi kwa mdomo ndio hawa hawa tuliochezea nao maji machafu
 
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi
Hii post naandika nikiwa nimetulia baada ya kurudi kutoka vacation ambapo niliona nimeenda kupumnzika ila badala yake ndio nimefanya kazi kubwa kuliko na kurudi kupumnzika nyumbani na sio tena sehemu nilio enda kutembea.

Ni sehemu moja tulivu sana na ina maandhari asili sana kwa ni sehemu ambayo bado inajitafuta ila imetulia sana.

Kama kawaida mimi na wadau wangu wa nne tukiwa na kila mtu na demu wake. Hao tukajizoa hadi huko nje ya mji tuliko kusudia kutembea kama ku refresh.

Tuliacha kubeba vyakula tukijua huko kila kitu kipo ni mwendo wa kununua tu.

Kumbe hesabu zetu zilikua sio kufika Kule tuka talii na kuanza kuogelea kama sehemu ya kufanyia hitimisho. Njaa ikaanza kutuuma tukamcheki mwenyeji wetu tukamuuliza kuhusu chakula akadai chakula cha chap hapa ni ugali na mboga za majani . Kwenye mboga za majani tukakosa viungo ila yeye alisema tuchemshe tu na chumvi ipo warembo wote walistuka yaani tule ugali na chukuchuku .

Tukamuuliza nyama vipi akasema labda atutafutie kuku tukasema sawa, hesabu za chap tukanunua kuku 6 na kuwachinja na kuwaandaa .

Maandalizi yenyewe ilikua tu wanachemshwa na chumvi basi kweli wakachemshwa na kuungwa chumvi tu. Na tukapata mayai 30 yote tukayapika kwa pamoja.

Aisee lilitolewa bonge moja la ugali wa yale mahindi ambayo yanaoteshwa bila kugusa hata dawa yaani ugali wake ni mtamu wa huku mjini ukasome kama kwenye picha hapo.

Basi tulikula tulishiba na kubakiza , ndugu zangu hawa wanawake ni wewe tu umeendaje....! Kifupi tulikua na pisi za kali kabisa zile za kisasa ila hamuwezi Amini zilikula huo ugali kama hazina akili nzuri ila ukikutana nayo town itakuambia kwao chakula chao ni baga na piza .

Basi baada ya kula na kupata nguvu kila raia akajikusanya na demu wake na kuanza kucheza cheza na story za jumla zikiendelea ziluzo pelekea watu tukaanza kutinduana ...aisee tulitinduana sana kwa hisani ya ugali wa dona asili na mchemsho wa kuku plus mayai in average kila pea walitunduana bao tatu . Alafu ilikua porini aisee kuna hewa safi kaubaridi utulivu we acha kifupi hii lazima irudiwe maana tulijihisi tupo edeni kabisa.

NB
Huku mjini hakuna ishu ni karaha tu jaman kila kona kelele za bodaboda na bajaji magari hewa chafu . Vijana kuweni wabunifu.

#Waacheni tu vijana wa Bush wapende mapenzi maana vyakula vya Bush ni nomaView attachment 2647023
 
Bao tatu tatu zote hizo, hizo show ni za vijana wa hovyo wasio na pesa. Mlienda kutiana au? Sema mlibadili tu mazingira ya kuila nyapu, ela ya gesti mkachanga mkanunua broiler wa buku saba saba na mayai.

Mkachagua pori la kwenda kufanya uhayawani.
 
Back
Top Bottom