SEX got me in Trouble.. Please HELP!

hivi hii inawezekana jamani??
mungu wangu aisee hata wanyama sidhani kama huwa wanagongwa hivi? tumezidi sisi viumbe mhmm?
vuta kumbukumbu yako au usubiri wakizaliwa utajua

watu watano kwa mwezi unaona ajabu? una ishi ulimwengu upi?

ar u serious kabisa na mshangao wako?

nipo kuvuta kumbu kumbu and it is killing me! nataka kukumbuka but wea!
 
Mmh wanawake wanatakiwa kujiheshimu bana hizi thread zako sijui huwa wafikiria nn..

Rogi kwa hio hapa inaonesha sijiheshimu? haya basi nitakuwa naongea na ukuta.
 
Last edited by a moderator:
Mmh wanawake wanatakiwa kujiheshimu bana hizi thread zako sijui huwa wafikiria nn..
Rogi ngoja nikuulize swali, hivi hujawah kuona ama kuskia binti anamimba na hamjui baba aliyehusika kumpa hiyo mimba? Je mtu kama huyu aliwaza nini?

nafikir kila mtu ana jinsi alivyoumbwa na kamwe hatuwez kufanana, so yatupasa kukubaliana na kuvumiliana. ila kama umewah fuatilia vizuri thread zote alizorusha erotica huwa zinavumbua yale yaliyopo kwenye jamii katika tasnia nzima ya ngono na ambayo watu wanaogopa kuyaasema waziwazi. sema tu ni kwamba kwa mila zetu za kiafrika maswala ya ngono yanaonekana machafu sana yanapojadiliwa hadharani kama hivi. lakin si kweli kwamba hajiheshimu.
 
gfsonwin huwa unanikuna sana, am back to being in love with you.... :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

mwaaaaaaah. :A S-rose: mwaaaaaaaaah. :A S-rose: mwaaaaaaaaaah:A S-rose:
 
dah unajua we mtoto mi huwa nakutamanigi...ur on of the reason am always in jamiif...can we pimmingle
 
Last edited by a moderator:
Aisee hapo nilipo highlight, siku hizi anachoshwa na kungwi wako no moja gfsonwin. Mimi nilifanya naye maungamo just once, nikahisi jirani yake Elizabeth Dominic ananizidi speed!

mmmhh.. Kaunga.....apa nimevunjikaje mbavu? gfsonwin tunachoshana sana tu, mwenyewe si mnamsikia hapa anawaatarifu mfyonzo? EE Mungu nisaidie!

Ila haina maana kuwa maungamo yamesitishwa ila mnamsingizia Elizabeth Dominic
Erotica, hongera kwa MImba....Mungu anakuona na amekutembelea kama alivomtembelea Sara. sasa basi come this way upatemo maujuzi ya wakati wa mimba from gfsonwin, Kaunga atakupa maujuzi ya kitabibu namna ya kuitunza akisaidiana na MziziMkavu

Usimkaribie Asprin kama ambavyo hutakiwi kumwona Erickb52

Uwe mpole kama CUTE ili ukijifungua wawe macutie kama mapacha wa cacico.
 
my swtlo mbona kama unatubu dhambi? ama Kaizer unahofu na mfyonzo? hili nimesha mwambia Kaunga kuwa ndicho ninachokifanyia kazi mpaka sasa na wanajua kuwa nakupenda sana. sawa papitoo
 
Last edited by a moderator:
me i loved you since the first day i knew you.

even me kungwito. was so dissapointed to kno it is another Kaunga. bt no love lost.

na hawa mapachito nazaa hawa tutakuwa closer and closer. naona raha utamu!
 
Last edited by a moderator:
dah unajua we mtoto mi huwa nakutamanigi...ur on of the reason am always in jamiif...can we pimmingle

teh teh teh. cmoney come this way.............. my pm mingles itsef.
 
Last edited by a moderator:
mmmhh.. Kaunga.....apa nimevunjikaje mbavu? gfsonwin tunachoshana sana tu, mwenyewe si mnamsikia hapa anawaatarifu mfyonzo? EE Mungu nisaidie!

Ila haina maana kuwa maungamo yamesitishwa ila mnamsingizia Elizabeth Dominic
Erotica, hongera kwa MImba....Mungu anakuona na amekutembelea kama alivomtembelea Sara. sasa basi come this way upatemo maujuzi ya wakati wa mimba from gfsonwin, Kaunga atakupa maujuzi ya kitabibu namna ya kuitunza akisaidiana na MziziMkavu

Usimkaribie Asprin kama ambavyo hutakiwi kumwona Erickb52

Uwe mpole kama CUTE ili ukijifungua wawe macutie kama mapacha wa cacico.

sante sana Kaizer, nina furaha nahsi kupaa. na mimba hii vitu vya kutubu viko lukuki.

nikijaga huwa nasahau sabb ya ule mvinyo ule. safari hii nitaungama yote.

sante kwa kungwito gfsonwini kuwezesha maungamo yaendelee. mwaaaaaah!

babu Asprin itakuwa kazi yake baby sitin tu! kisha zeeka yule. alafu mie mbona mpole papito?
 
Last edited by a moderator:
Waambie wote hao kwamba unataka kufanya DNA test ili ujue nani baba, lakini mwambie kila mmoja kwa wakati wake. Make sure hakuna anayejua kuna "mwenzake". Majibu yakirudi, utamjua nani baba.

TEKELINALOKUJIA hiyo!
 
malaya tu kafe mbele na mimba yako

Kidogo chetu acha kutumia akili kido tumia zote. unajua maana ya malaya wewe?

ungejua maana yake utajua kama una dada, wifi, mke, mama, mtoto wa kike nao wote hao ni malaya!

potelea mbele hakuna aliyekulazimisha kunipa ushauri. na k ni yangu si yako kuwa uniamulie!
 
Last edited by a moderator:
Waambie wote hao kwamba unataka kufanya DNA test ili ujue nani baba, lakini mwambie kila mmoja kwa wakati wake. Make sure hakuna anayejua kuna "mwenzake". Majibu yakirudi, utamjua nani baba.

TEKELINALOKUJIA hiyo!

mwaaaaaah! hii nimeipenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom