SEX got me in Trouble.. Please HELP!

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida.
Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea.
Saizi nakula zaidi kuliko kawaida yangu na najikuta nataka utulivu wa mara kwa mara.
Ndio nimetambua saizi nina mimba. Hio inafanya niwe nina habari mbili mbaya na nzuri.

Mbaya ni kuwa nina mimba ya mtu ambae sijui atakuwa yupi! Najiuliza baba watoto ni nani kati
ya wa 5 niliokutana nao katika zile siku za kutikisha mimba ule mwezi wa mwisho ambao niliacha sex rasmi.
Sina raha, sina amani sabb nataka mtoto ajue baba yake wa kweli ni yupi.
sina la kufanya ila mimba sitoi! Wangekuwa wote ni waswahili ningejipanga vizuri.
Tatizo katika hao wa 5 moja mchina, mwingine mzungu watatu waswahili. Wote nilitumia condom,
kasoro mmoja, nimesahau ni yupi.

Habari nzuri I am pregnant with twins nilikuwa nawatafuta kwa nguvu zote.
Bonus ni kuwa najisikia kufanya kila mara. Naomba mnisaidie ushauri pliiiiiz!

No mwaaaaah! nahisi kuzimia! :faint2:
 
Uliamua kuuza game?!!!!! Akapera I mean?!!!
Una roho ngumu aisee...
 
Hongera sana..ila hiyo kibendi ni ya muda gani..mpaka ukajua kua ni twins?? Fafanua...
 
Eroticaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, uwiiiiii huwa unanipa raha mamito! karibu kwenye chama cha kulea twins, ni kasheshe mwanzoni but utazoea!
 
Last edited by a moderator:
Mweeh!
Pole na hongera pia.
As for ushauri, anza kununua pampers, unisex dresses na uanze kugoogle things like "how to enjoy being a single mother of twins" LOL

Mmmwaaaaaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Uliamua kuuza game?!!!!! Akapera I mean?!!!
Una roho ngumu aisee...

wote hao nilifanya kwa kupenda. hakuna niliemuuzia.

the difference btn sex for mane and sex for free is that sex for mane costs less.

I dont get into that trap for sex for mane. hio ya akapera everybade

daz that ila tu hakuna ambae hufunguka na ukweli.
 
ngoja nikale wkend mie ...loooooooh loooh unagawa utamu kavukavu erotica?
 
Plz plz, umenimiscot...
Kuuza game mi namaanisha kwenda kavu...
 
Mweeh!
Pole na hongera pia.
As for ushauri, anza kununua pampers, unisex dresses na uanze kugoogle things like "how to enjoy being a single mother of twins" LOL

Mmmwaaaaaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sante mamito. will u still be coming? maybe once in a while we both bebisit? mwaaaaaah
 
ngoja nikale wkend mie ...loooooooh loooh unagawa utamu kavukavu erotica?

Smile watu wote wanaosema wanatumia kinga wangekua ni kweli wanatumia

hata ukimwi ungekua umeeisha, hasa ukizingatia ingekuwa mtu kila anapozini

anatoka kitundu wengine mngekuwa kama neti humu.

hivo kwa kweli siku moja moja tegemeana na abiria ni kavu kavu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom