Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Hapana namkimbia kama mwendo kasi za darKwa hiyo mtu akijidaidai anakijua tayari anakuzoa
Teh
Sipend ujinga mm
Hapana namkimbia kama mwendo kasi za darKwa hiyo mtu akijidaidai anakijua tayari anakuzoa
Teh
Hii ni namba moja ngoja twende twoSawaaa hata mm nina tabia hiyooo
Oky nakufata mwalimHii ni namba moja ngoja twende two
Teh
Hehehe ningefurahia balaaOky nakufata mwalim
and vise versa!Don't believe a woman when replies the following seven answers;![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama mm tu kweli kabisaKila kitu sawa.
Unaposikia hivo kutoka kwa mwanamke usidhanie ni kweli hayuko salama na kilakitu hakiko shwari hasa ukijua haikutakiwa kuwa hivyo.
No 2
Teh
Hahahahaaa8. I have only slept with two men![]()
Hahahaaa. Uongo una gharama sana. Kwahiyo ikajulikana lile eneo yeye ni mwenyeji kabisa.Ilitokea siku moja tuko Buguruni jamaa kakutana na binti walisoma high school huko mikoani sasa jamaa akataka wakakae sehemu waongee .Akamuuliza binti wewe si mwenyeji huku wapi karibu kuna guest house binti akasema hajui.
Ikabidi awaulize wahudumu wakamwelekeza jirani kuna guest house.Kitu cha ajabu walipofika alitoka kidogo kurudi akakuta ameletewa kinywaji cha moto badala ya baridi.kukatokea mzozo basi yule binti anawajua wale wahudumu kwa majina.
Haaa haaa! Unaniangusha mama
Haaa haaaa!Siku zote uongo ni asili ya mtu hakuna cha Me wala Ke hapo tofauti ni namna tunavyovipokea.
Na pia niseme tu katika yote hayo ikitokea mwanamke au mwanaume akaviamini pale anapoambiwa na huyo mpenzi wake jua ana shida sababu vingi havizuiliki hapo. Hasa namba moja na hiyo nne.
Na hiyo namba sita. Mmh.![]()
Better if u prepare that about menand vise versa!
Haaa haaaa! Viwanja vyake hivyoIlitokea siku moja tuko Buguruni jamaa kakutana na binti walisoma high school huko mikoani sasa jamaa akataka wakakae sehemu waongee .Akamuuliza binti wewe si mwenyeji huku wapi karibu kuna guest house binti akasema hajui.
Ikabidi awaulize wahudumu wakamwelekeza jirani kuna guest house.Kitu cha ajabu walipofika alitoka kidogo kurudi akakuta ameletewa kinywaji cha moto badala ya baridi.kukatokea mzozo basi yule binti anawajua wale wahudumu kwa majina.
Mpaka virgin itoke zitafungukaNgoja zifunguke nije