Na baada ya siku 14 Lema nenda mahakamani endapo watakataa kufuta hiyo kesi ya kipumbavu piga tena siku 14 together is one tuko pamoja mkuu wa Machalii Arusha.
kaka lema hapo jela haupo pekeyako upo na roho za watz maskin kibao wewe ni shujaa wa bibi na babu yangu kule kihagara-mbinga ruvuma ambao maskin ya mungu awajui hata majukumu ya serikali kwao kaza kaka we are 2geza bro
Nguvu ya uma ya kudai uhuru wa kweli inaonyesha dalili itaanzia arusha. Jambo hili la lema ni kubwa sana ukitizasma record za mapinduzi zinazosababisha wakuu wa nchi kujiuzulu.