Service charge ya TANESCO imeongezeka kimya kimya

Service charge ya TANESCO imeongezeka kimya kimya

Jana nimenunua umeme wa elfu nane kutumia tigo.( Vodacom kama kawaida walikua hawatoi huduma kwa muda ule ilibidi nitumie Tigo) Nilipata unit 3.50 na zilitosha mpaka asubuhi ya leo.Ina maana walikata Tshs 6500 kama service charge. leo asubuhi nimetumia laini ya Vodacom kununua umeme. Nilinunua wa 20,000 lakini nikapewa umeme wa Tshs 16,395.00 kwa maana kwamba service charge ni zaidi ya Tshs 10,000 kwa mwezi.
Mkuu SOGHOO,Hivi service charge inatolewa baada ya muda gani?
 
Tendered amount: Tshs 60,000
Service charge: Tshs 5,520
22% of S/charge > 22%*5,520=1,214.40
subcharges: 5,520+1,214.40=6,734.40
T/amt - subcharges = 53,265.60
Vat 18%*53,265.60=43,677.80

1Unit=Tshs 298/kwh
x Unit =Tshs 43,677.80

x = 146.57 UNITS.

Shikamoo, ila maisha ya Mtanzania yako selo!
 
Back
Top Bottom