Service charge ya TANESCO imeongezeka kimya kimya

SOGHOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,268
Reaction score
568
Jana nimenunua umeme wa elfu nane kutumia tigo.( Vodacom kama kawaida walikua hawatoi huduma kwa muda ule ilibidi nitumie Tigo) Nilipata unit 3.50 na zilitosha mpaka asubuhi ya leo.Ina maana walikata Tshs 6500 kama service charge. leo asubuhi nimetumia laini ya Vodacom kununua umeme. Nilinunua wa 20,000 lakini nikapewa umeme wa Tshs 16,395.00 kwa maana kwamba service charge ni zaidi ya Tshs 10,000 kwa mwezi.
 
mkuu ulikuwa hujui? kwamba tunalipa sh 6,500 kama service charge kwa mwezi? sasa unafikiria wakina ruge marila na singa singa watakula wapi? yaani hakuna wateja tunaokamuliwa kama watumia [luku]

hapa tanesco wataibiwatu umeme mtanzania wa hali ya chini hataweza kumudu gharama hizi,sasa siku za nyuma ulikua unaweza kununua umeme wa sh 5,000 kila mwanzo wa mwezi unapata kama unit 1.6 lakini sasa hupati tena inakulazimu mtanzania wa hali ya chini ununue umeme wa sh 10,000 unapewa unit 9 sasa niambie watu wataacha kuliibia shirika?

serikali iliangalie jambo hili kwa makini waondokane na kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta, wazalishe kwa kutumia ges au makaa ya mawe, ili mwananchi apate unafuu wa umeme kama zamani embufikiria kutoka 75 kwa unit mpaka 350 kwa unit 1 uhu ni mzigo mzito anaobebeshwa mwananchi,
 
Service charge haijapanda ila kuna tatizo kwenye Mitandao,malalamiko ni mengi. Chakufanya wapigie customer care uwaulize halafu tujuze.
 
Tanzaniaaaa.... kazi kweli kweli. ..hakuna huduma iliyo kwenye mstari....
 
Problem watz kila kitu tunaona sawa tu,hao wanaotaka kwenda ikulu akina slaa na wengine mbona hilu hawalisemei?
Naona tunazunguana tu tz hamna mkweli hapa tz.
 
Jana nimenunua umeme wa elfu nane kutumia tigo.( Vodacom kama kawaida walikua hawatoi huduma kwa muda ule ilibidi nitumie Tigo) Nilipata unit 3.50 na zilitosha mpaka asubuhi ya leo.Ina maana walikata Tshs 6500 kama service charge. leo asubuhi nimetumia laini ya Vodacom kununua umeme. Nilinunua wa 20,000 lakini nikapewa umeme wa Tshs 16,395.00 kwa maana kwamba service charge ni zaidi ya Tshs 10,000 kwa mwezi.

Service charge huwa inakatwa mara moja tu kwa mwezi, hayo makato ya pili kwenye sh 20,000/- ni VAT 18% ambayo hukatwa kila unaponunua umeme
 
Leo nimenunua umeme wa 60,000/- nikapewa Unit 146.50 ambayo ni sawa na umeme wa Tsh 43,660. Kwa maana kwamba service charge ni 16,340/- Jamani naomba ufafanuzi hapa maana huku ni kuuana huku tukihubiri Amani na Mshikamano.

Nachelea kusema nchi hii bila kutandikana. Bila VITA hatuwezi kuheshimiana. Watu wanafanya mambo ya kihuni wakijua watanzania ni mazezeta. Hatuwezi chukua hatua ngumu. Kama South Africa wamewatimua waafrika wenzao kwa kigezo cha kupokonywa ajira zao basi watanzania tuna kila sababu yakuwatimua hawa viongozi wahuni. Tuwatimue kwa mtutu wa bunduki na kuchoma Mali zao au tutumie ipasavyo sanduku la kura ifikapo October.
 
Mtakubaliana nami kwamba hili ongezeko la service charge limekuja mara baada ya SIMBA CHA WENYE kuwaondoa SELCOM
sijui nae huyu anataka apige hela nzuri ili agombee uraisi ? Naona sasa ikulu imekua kama Kariakoo kila mtu anataka aingie kwa kigezo kwamba ameombwa na wananchi.
 
Halafu Lyatonga ndio anadai watu waongezewe muda wa kukaa madarakani.
 
Problem watz kila kitu tunaona sawa tu,hao wanaotaka kwenda ikulu akina slaa na wengine mbona hilu hawalisemei?
Naona tunazunguana tu tz hamna mkweli hapa tz.
wako bize kutafuta chopa za kuruka wakati wa kampeni
 
Mtakubaliana nami kwamba hili ongezeko la service charge limekuja mara baada ya SIMBA CHA WENYE kuwaondoa SELCOM
sijui nae huyu anataka apige hela nzuri ili agombee uraisi ? Naona sasa ikulu imekua kama Kariakoo kila mtu anataka aingie kwa kigezo kwamba ameombwa na wananchi.
inauma sanaa kuwaondoa selcom ni migogoro ya kibiashara kwani jamaa walikuwa na mashine wireless mtandao ulikuwa full karibia muda wote sasa hawa Maxmalipo ni majanga mtandao wa antena
 
polen sn sisi wenzenu huku kwetu umeme buuure,tunapikia tupendavyo. njooni huku, ss 2nazalisha umeme wa bagazi
 
Mtakubaliana nami kwamba hili ongezeko la service charge limekuja mara baada ya SIMBA CHA WENYE kuwaondoa SELCOM
sijui nae huyu anataka apige hela nzuri ili agombee uraisi ? Naona sasa ikulu imekua kama Kariakoo kila mtu anataka aingie kwa kigezo kwamba ameombwa na wananchi.

Hakuna ongezeko la service charge hapo mkuu piga hesabu, kuna VAT 18%. Na hii ni kila unaponunua umeme. Service charge ni mara moja tu kwa mwezi.
 
Leo nimenunua umeme wa 60,000/- nikapewa Unit 146.50 ambayo ni sawa na umeme wa Tsh 43,660. Kwa maana kwamba service charge ni 16,340/- Jamani naomba ufafanuzi hapa maana huku ni kuuana huku tukihubiri Amani na Mshikamano.

Nachelea kusema nchi hii bila kutandikana. Bila VITA hatuwezi kuheshimiana. Watu wanafanya mambo ya kihuni wakijua watanzania ni mazezeta. Hatuwezi chukua hatua ngumu. Kama South Africa wamewatimua waafrika wenzao kwa kigezo cha kupokonywa ajira zao basi watanzania tuna kila sababu yakuwatimua hawa viongozi wahuni. Tuwatimue kwa mtutu wa bunduki na kuchoma Mali zao au tutumie ipasavyo sanduku la kura ifikapo October.

Mkuu inamaanisha wamekata service charge ya miezi miwili,kuna mwezi ulipita bila kununua umeme.
 
mkuu ulikuwa hujui? kwamba tunalipa sh 6,500 kama service charge kwa mwezi? sasa unafikiria wakina ruge marila na singa singa watakula wapi? yaani hakuna wateja tunaokamuliwa kama watumia [luku]
Tayizo kubwa kwenye nchi yetu, watawala wameamua kutumia kile kitu kinachoitwa rule of the jungle, ambayo principle yake kubwa ni survival of the fittest.

Wakati masikini wa TZ anakamuliwa pesa hiyo ya shilingi

hapa tanesco wataibiwatu umeme mtanzania wa hali ya chini hataweza kumudu gharama hizi,sasa siku za nyuma ulikua unaweza kununua umeme wa sh 5,000 kila mwanzo wa mwezi unapata kama unit 1.6 lakini sasa hupati tena inakulazimu mtanzania wa hali ya chini ununue umeme wa sh 10,000 unapewa unit 9 sasa niambie watu wataacha kuliibia shirika?

serikali iliangalie jambo hili kwa makini waondokane na kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta, wazalishe kwa kutumia ges au makaa ya mawe, ili mwananchi apate unafuu wa umeme kama zamani embufikiria kutoka 75 kwa unit mpaka 350 kwa unit 1 uhu ni mzigo mzito anaobebeshwa mwananchi,
Tatizo la nchi yetu imeamua kutumia kile kitu kinachoitwa rule of the jungle, ambayo principle yake kubwa ni survival of the fittest.

Hebu jaribu kuimagine wateja masikini wa kutupwa wa TZ, wanakamuliwa shilingi 6,500 kila mwezi kwa kile kinachoitwa service charge, ambapo inasemekana pesa hizo ndizo ambazo huwa wanalipwa wamiliki wa makampuni binafsi wa mitambo ya kuzalisha umeme kama vile IPTL, ambazo ndizo ambazo huwa zinazalisha skandali kama ile iliyotokea ya Escrow, ambapo mabilioni ya pesa hizo, bilionea Ruge, aliamua 'kuwarushia' close associates wake kwenye akaunti zao binafsi.

Kule Stanbic nako wale wenzetu wenye meno ya 'kuzitafuna' pesa zetu, walijisombea hayo mabilioni yetu kwenye magunia ya lumbesa na kuyatumbukiza kwenye malori, na kuondoka kwenye benki hiyo yenye ulinzi wa hali wa juu bila 'kuguswa' na mtu yeyote wala kunaswa na mitambo ya ulinzi ya CCTV!
 
Leo nimenunua umeme wa 60,000/- nikapewa Unit 146.50 ambayo ni sawa na umeme wa Tsh 43,660. Kwa maana kwamba service charge ni 16,340/- Jamani naomba ufafanuzi hapa maana huku ni kuuana huku tukihubiri Amani na Mshikamano.

Nachelea kusema nchi hii bila kutandikana. Bila VITA hatuwezi kuheshimiana. Watu wanafanya mambo ya kihuni wakijua watanzania ni mazezeta. Hatuwezi chukua hatua ngumu. Kama South Africa wamewatimua waafrika wenzao kwa kigezo cha kupokonywa ajira zao basi watanzania tuna kila sababu yakuwatimua hawa viongozi wahuni. Tuwatimue kwa mtutu wa bunduki na kuchoma Mali zao au tutumie ipasavyo sanduku la kura ifikapo October.

Tendered amount: Tshs 60,000
Service charge: Tshs 5,520
22% of S/charge > 22%*5,520=1,214.40
subcharges: 5,520+1,214.40=6,734.40
T/amt - subcharges = 53,265.60
Vat 18%*53,265.60=43,677.80

1Unit=Tshs 298/kwh
x Unit =Tshs 43,677.80

x = 146.57 UNITS.
 
22% = makato ya REA & EWURA.

gharama za service charge hazipanda.
 
Hivi kuna haja gani ya kukatwa service charge? Whay service charges wakati tayari kodi zote nimeshalipa?

Mbona mashirika binafsi ya umeme hawakati hizo service charges zaidi ya 18% VAT?
 
Back
Top Bottom