Serukamba tunakuhitaji jimboni Kigoma Kaskazini

Serukamba tunakuhitaji jimboni Kigoma Kaskazini

PamiKa

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
17
Reaction score
21
Wakuu

Huyu mheshimiwa mbunge wa Kigoma Kaskazini aliyebadilishana jimbo na Zitto Zuber Kabwe,tangu amalize uchaguzi Oct 25 hadi leo hajaonekana katika jimbo lake.

Mheshimiwa sijui ni nini kimekupata huko ulipo maana hata taarifa zako jimboni hakuna.

Tuambie kama ni shughuli za serikali alizokupa Magu zimekubana,umesafiri nje kutibiwa,umerudi kwa kaka yako Pierre Nkurunziza maana wewe ni wa huko hata uchaguzi alikusapoti sana kwa kukutumia mahela na ukayamwaga kweli au una chuki na jimbo lako ukaweka visasi.

Tunakuomba muheshimiwa popote ulipo angalau uje kuangalia na kusimamia baadhi ya miradi kwani madiwani wanaimaliza tusichoona kinapiga hatua.

Mheshimiwa njoo japo useme neno moja maana tumekusahau wapiga kura wako.
 
Serukamba aje kigoma kigoma kufanya nini?Ifike mahali wapiga kura wajitambue.Kwa yeyote aliyekuwepo wakati was kampeni za huyu bwana ataelewa ni kwanini mbunge huyu hana haja ya kutembelea wapiga kura.
 
Uchaguzi ukikaribia ataonekana tu Wananchi mnapaswa kuwa wavumilivu wakati mbunge akiendelea kutekeleza ahadi zake
 
Mlikula "NTORE" zake acheni awanyooshe,mie niwahuko huko na kipindi cha uchaguzi nilikuwepo.Mlikuwa mnaenda anawagawia elfu mbili mbili wanawake kwa waume hata usiku wa manane.Niliwaelimisha lkn hamkusikia endeleen kula ntore.
 
Mimi ninachoomba anayefahamu alipo atusaidie kumfikishia ujumbe huu
 
Kwa hiyo jamaa ni Murundi? Daaaah....na kama ni kweli basi Kigoma kaskazini imekula kwenu, warundi hawanaga habari na wapiga kura wao baada ya ushindi. Msubilini 2020 ndg zangu.
 
Serukamba popote ulipo nakuomba uende hata kuweka kambi Ibiza Mimi nitalipa... Mijitu ya kigoma kaskazin ipate akili kuwa tusitumie hisia kipindi cha uchaguzi
 
Back
Top Bottom