Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
hakyamama hiv vijana wa kume siku hizi mkojeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh!
Nahisi kuna sehemu wazazi tunakosea katika malezi ya watoto hasa wa kiume. Tusiporekebisha kizazi kijacho kitakuwa na wanaume wachache sana!!!
cc. Heaven on Earth gfsonwin
Last edited by a moderator: