Seriously! I want to join freemasonry..

freemason is'nt secret organization, it is an organization with secrets. If you join them then you joined for good and you must support their missions for org successes, you must first know why you want to join them and know some basics (signs) ask anyone will help you, they are everywhere hapo mjini
 
Fungua hii link then pale mwisho kuna e-mail address unaweza kuwasiliana nao.
 
Unatakiwa ujue vitabu vyote vya dini kwa uhakika na ustadi kisha uende kwenye interview yao.
 
Even 2pac was curious like you at the end of the day He was fedup...It is not easy to pull ur self out once you ar in.
Pass through his lyrics you will note what he warned us especialy pipo like u.." I sold my soul to the darkness"2pac

Remember: Curiosity kills the rat.
Watch & think big before you act.
One lov
 
Mtized one! sio 2 pac peke yake mwambie afuatilie the true scandle of michael Jackson Death....na maneno ya wimbo aliokuwa auimbe London few days b4 his death...thre after u can have a right choice on ur decision of either to join or not! am out.

NDO NIMEKUJA JF,,,,MORE SUPPORT
 
the priest, freemasonry is the culture freemasons follow. Mzee mwafrika, unaweza kutuambia kwa nini unataka kujiunga na dhehebu hilo? Unajua kwa hakika ni maadili gani freemasons hutetea? Nimeona documentary kuhusu freemasonry ambayo imenifundisha kwamba kujiunga na hili dhehebu si rahisi. Utahitaji subira na uvumilivu nyingi kwani ni mchakato mrefu. Utaulizwa maswali nyingi pia kwa freemasons kabla ya kupokewa kama new member kwani they'll want to make sure they can trust you. Ni lazima pia umepita umri wa 18. And that's pretty much all i know...be careful with sects and the like though! It can be extremely dangerous if you don't know what your doing.
for staters freemasonry ain't a religion(dhehebu) hapo umekosea
 
Mwisho wa siku kila mtu atalazimishwa kuwa mshirika wa mipango ya free masons, haya tuanze na hiki kitambulisho cha utaifa kina tofauti gani na mapango wa kuweka microchip kwa kila mwanadamu unaofadhiliwa na rockerfeller family, chip ambayo itawezesha kujua movement za kila mtu!
 
frustations kivipi dada?unapoongea una-reflect maisha yako kwa hiyo kuwa mwangalifu!!!unafahamu lolote kuhusu freemasonry?unawafahamu freemasons?Kama huna la kuchangia kaa kimya dada yangu....
<br />
<br />

Mpaka umeamua kujiunga na freemason hope yu know much about it sasa unataka usaidiwe nini?

Naona wewe ndo mwoga, unataka kujiua unauliza nn?! KAJIUE ACHA KUTAFUTA USHAURI KAMA UMEAMUA KUFA.
 
dhambi zang zinanitosha unataka uniongezee?shauri zako na ukishaingia huko then what?unauza roho yako ili iweje?nafanya dhambi lakini wewe umefika mbali aisee najua utsema dhambi zote sawa lakini angalau najua kuna Ysu hata nikitoka kwenye mechi zangu sasa wewe unataka kabisa kwenda kumwabudu shetani???unajua kinachoendelea huko?
Mwenye mwongozo anisaidie....
 
if you can ask Michael Jackson,Alexander MacQueen,2pac na wengineo wegi kutoka huko ni issue lazima wakkumalize and its very frustrating,michael jackson alivyosema they dont care about us ulifikiri anongea nini na ukileta mdomo watakukandamiza mpka upate adbu kama sio kukumaliza kabisa.be careful na unachokitafuta kuna watu wanajuta na wanataka kutoka wanashindwa ndio maana wanaamua kujiua.wewe unaabudu shetani halafu mke wako na family yako na ndugu kila siku wanakesha kumuomba Mungu lazima uchanganyikiwe na ukizingatia huwezi mwambia yeyote guilty consciousness itakuua.na are you reay na hizo sadaka zao?tunawajua wangapi wako huko na hawajafanikiwa,its not easy my brother tuliza ball utafanikiwa tu siku si nyingi na kwa taarifa yako lazima uwe na mkwanja ndo wanakupa channel sio sehemu ya kutokea kimaisha ile usije fikiri wanagawa hela huko no way huko ni kwamba wanapeana michongo na connections tu so jipange upya na mpka uko humu inaelekea hata hizo hela huna maaana kwa sasa lazima uneishawajua wenzako na kuwauliza au wangeshajaribu kukualika.kalaga baho
Mwenye mwongozo anisaidie....
 
Back
Top Bottom