Seriously! I want to join freemasonry..

Seriously! I want to join freemasonry..

Kwa Tanzania njia Rahisi kujiunga :
-Join Lions Club,be a Rotarian,
then utakaribishwa katika mikutano ,huko utakutana na Scouts wa new members katika Freemasonry.
inabidi uwe na potentials kama ni kilaza,mvivu huna mtazamo wa kimaendeleo au mlevi ,teja.huwezi kukaribishwa;.
wana jengo Dar-es-salaam,next to Zambia Embassy.lipo wazi kabisa na limeandikwa Freemasonry lodge.unaweza kwenda mida ya Asubuhi before 9am au nenda jioni after 5pm.
MIMI SIYO MEMBER ILA HIYO HABARI NI PUBLIC INFORMATION
 
Mwenye mwongozo anisaidie....

Mkuu,
Some freemasons are members here in JF monitoring your ...

Ila mimi ningependa kuwa against nao na in this case nahisi unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Kabla sijaenda mbali naomba kujua:
(a)Kwa sasa wewe ni dini gani?
(b)Ni vitu gani vinavyo kushawishi utamani kuwa freemason?
 
kwani kupimwa hospitalini ubongo (soma akili) wa mtu ni shs ngapi?
 
Shindwa kwa jina YESU, Umeshamzarau aliekuumba eee? Wacha kufuru wewe
 
Katika mambo ya kiimani ni dhambi kubwa kumhukumu binadamu mwenzako bila kuwa na uhakika na kile unachokisema, watu wanawahukumu wakatoliki kuwa waabudu mashetani bila kujua kiundani imani ya kikatoliki, hao ni sawa na wale waliomhukumu Yesu kuwa anatoa pepo kwa nguvu za belzebuli, shetani ameamua kubadilisha mawazo ya watu kutoka kumhubiri Mungu aliye Hai na matokeo yake wanamhubiri shetani na kuwafanya watu wamhofie shetani, ndugu zangu katika Kristo Yesu, tumeumbwa ili tumjue Mungu na pia tumtumikie Yeye pekee, wa Kuhubiriwa ni Yesu Kristo. Kama wanadamu tutamjua kweli Mungu wetu na kuacha dhambi hakuna haja ya kuhofu chochote, mipango ya Mungu haiwezi kuzuiliwa na shetani. Cha msingi si kwamba nani anamwabudu Mungu gani bali wewe binafsi kama utakufa sekunde hii hatima yako ni wapi? jehanamu au mbinguni? mabishano yasiyo na msingi hayatusaidii chochote.
 
Kimsingi Freemasons kwangu hawana tofauti na watu kama Wakatoliki, tena Freemason - the part that is publicly known- wako more altruistic kuliko Wakatoliki - the part that is publicly known-.

Wote wanaamini mungu na the supernatural, and that does not impress me much.

Unless unataka kuwatumia kupanda ngazi, which is cheap and despicable, sioni watakuwa na jipya gani.

Are you sick or something?
Unathubutuje kuwafananisha Freemasons na Catholic? Ndugu, katubu.
 
[h=3]How Do You Become a Freemason?[/h]
Freemason Membership Requirements

What are the requirements to become a Free Mason?

The requirements to join Freemasons, are:
  • You must be a man of good repute.
  • In most U.S. states, you must be over the age of 21. Some states vary, so you will need to ask.
  • You must believe in a Supreme Being. (This is a requirement in the majority of jurisdictions around the world.)
  • You must be able to support yourself and your family.
  • You must live a moral and ethical life.
  • You must have a strong desire to want to make a difference in the world. By your actions, you want to make yourself a better man, and make your community and the world a better place to live.
KAMA BADO KUSHIBA ULIZA SWALI NI MAISHAA MAZURI USITISHWE KUWA UTAACHA DINI NA IMANI YAKO KARIBU SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tena Pope ndo kiongozi wa freemason! Tena hata hilo jina "freemason" chanzo chake ni catholicism. Kama mnabisha pingeni wakatoliki.
 
Jiunge nao kama uko tayari kwenda kucheza ngoma UCHI wanaume wa2pe, mwanamke haruhusiwi kuingia huko, sasa hii ni dini au USHETANI, tena kama ww ni hohehahe wala hata usipoteze mda wako, maskini kwao hana nafac
 
Wewe mwerevu unayejua ukweli weka hapa jamvini with supporting evidence/links

Kifupi ni kwamba...free mason si dini kama wengi wenu mnavyo dhani..they posses ancient secrets..na wanaziweka secret not be revealed kwa other people other than the members...evidence utakayoweza ukaipata kwa urahisi zaidi ni wikipedia...hizi nyingine labda unitafute nikupe some copies..
 
ni bora kufa kuliko kukata tamaa, na hiyo ni dalili ya kukata tamaa, complain and stay or praise and rise! Unataka utajiri wa haraka haraka! Think twice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom