Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
- Thread starter
- #41
Erykah Badu - she's 41 and her bum is cray!
Wacheni urongo, kwanza picha hizi zimefanyiwa editing hadi basi, afu makeup ilowekwa hapo ni layer ya kutosha kupata unga kilo kadhaa.
Bado 'jobs' zilizofanyika, utasikia bobs job, mouth job, nose jobs, makalio job.
Wanavutia kutazama