Serious, nataka kuoa

Serious, nataka kuoa

Kiruka njia....

Yani umezaa nje ka mbwa....labda umpate aliyezaa kama mbwa ndo mtaendana..

Wewe unaleta wa kwako na yeye analeta wa kwake..

huna adabu kama bibi yako! hata wewe ulizaliwa kama mbwa, tena inawezekana wewe ni product ya Buguruni au Kona baa...
 
Du naomba niwe mimi ila ntaitaji mtt angalau mmoja siwezi kuishi bila kuzaa kama sina tatizo la ugumba

tujadiliane na kufikia muafaka katika hili! you are welcome Leomimi!
 
Mimi hata ukiwa na mtoto mmoja nje sikuoi na nikigundua baada ya kukuoa kwenu unarudi
 
Kuna watu wametoa mimba zaidi ya nne halafu wanampiga kelele hapa
 
Kiruka njia....

Yani umezaa nje ka mbwa....labda umpate aliyezaa kama mbwa ndo mtaendana..

Wewe unaleta wa kwako na yeye analeta wa kwake..

Ina maana waliozaa bila kuoa au kabla ya ndoa ni 'mbwa'!? ....mwenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom