Hckcode8
JF-Expert Member
- Apr 25, 2016
- 370
- 245
ASTRAL PROJECTION/Mental
Projection...... Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na
Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani
Husemwa Kiroho...
Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa
aina mbili au tatu na wenyewe ni wa
roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya
kuwa ni kitu kifupi tu watu
wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na
mengine kujifunza huko huko FAIDA ZAKE: 1. Kujitambua kuwa wewe hufi na
kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio
litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni
ya watu wamekua wakithibitisha kuwa
mtu akifa hapotei moja kwa moja bali
kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth. 2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala:
Hii husaidia mtu kulala katika hali ya
usalama na kupata nguvu
inayozungumziwa baada ya kulala na
kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala
tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi. 3. Kuongeza nguvu ya majariwa: Hii
inaongeza kipawa cha unabii na
uwezo mkubwa wa kumsoma mtu
akili kama mind reader au telepathy,
kasimama hapo wewe unaongea na
roho yake. 4. Kujiendeleza Kimaisha: Ukiwa nje
ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe
ni zaidi ya binadamu wa kawaida
hivyo hukuongezea akili ya utendaji
zaidi kwa kutumia maajabu na si
nguvu tena. 5. Inakuongezea kukomaa kiroho:
Watu wengi wamekuwa na roho nzuri
baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya
asiekuwa mwanadamu. 6. Inaongeza heshima ya maisha: Hii
hukufanya umuheshimu kila kiumbe
na umuhurumie hata paka maana kule
una uwezo wa kuongea hata na
wanyama pia. 7. Inaongeza akili kumbukumbu na
ubunifu: kupitia ufahamu utakao kuwa
nao kwa zoezi hili inaeleweka
kwamba utakuwa umefungua sehemu
za ubongo wako za fahamu
zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu. 8. Kukuwezesha kupata majibu yako
mwenyewe kwa spiritual guide:
kutoka nje ya mwili kutakujibia
maswali mengi ambayo ulikua huwezi
kuyajibu katika ulimwengu wako wa
kiroho. 9. Kuondoa woga wa kufa: kuhofia
kifo ni kuhofia jambo
usilolijua.utakapotoka utaona kwamba
kumbe nina uwezo wa kuishi maisha
ya pili hata nikifa. 10. Kutambua na kuelewa mambo ya
kale yaliyopita: utajifunza jinsi ya
kupanua ubongo wako haya
kuzungumza na historia za kale
ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo
ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions. 11. Kupaa na kufurahi! Ulimwengu wa roho hata anga sio
mpaka. unaweza kupaa nyuma ya
mawingu. na ukapaa kama puto.
unataka kuwa na macho ya ndege
mjini? la shaka! au unataka kupaa na
kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, or dive
inside and swim like a fish! ukitaka unaweza hata kufika kwenye
sayari za juu na zile ambazo bado
hazijawa discovered wazungu
walifanya zamani sana hii na kwenda
huko kabla hata ya kurusha ndege,
unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea
marafiki kila corner ya ulikmwengu 12. Kuthibitisha kwamba mwili wako
utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu 13. utayaona mengi maisha yako
yaliopita na kuyachezea na utakuwa
na nafasi ya kuona kila kitu ambacho
unatakiwa kufanya ufanikiwe Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa
magonjwa yasiyotibika kwa maana
unaingia hata sehemu ambazo
zimefichwa hasa na wawea kula dawa
yeyote evolution. 14. Kukutana Na Malaika wako wawili Utawaona hawa hatua ya kwanza
kutoka na kukuongoza kwa mengi
ukitaka kuwaona. 15. Kuongeza Nguvu ya miujiza Kutoka huku kutakufanya uongeze
nguvu zako za miujiza kama vile kuona vitu visivyoonekana kwenye real
world, kuskia sauti za mawazo ya
mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa
zijazo, kumlazimisha mtu kufanya
utakacho (mind control), kuhisi jambo
fulani linatokea, nguvu ya unabii, Kuona aura ya kila kitu na nguvu
zingine nyingi tu. haya yote
yatakutokea kwa maana umezidi
mpaka wa ubongo wako hapa ndio
tunaanza kuona more than a normal
brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie
manguvu yote hovyo utaanza kuhisi
kuchanganyikiwa go stape by step. 16. kujaza busara akilini. hii hukufanya uzidishe busara katika
akili yako na amani kuu katika roho
yako 17. Kuongeza tamaa ya kupata majibu Kutoka nje ya mwili kutakufanya
kujibu maswali na kujua zaidi kwamba
wewe ni nani? upo wapi? na unafanya
nini? na unaenda wapi? ukijua hayo
hutabadilika mfumo wako wa maisha? 18. Kuwaona waliokufa Hapa utakutana na ndugu zako
uliokuwa ukiwapenda waliotangulia
mbele za haki. Kukutana nao huku
kutakusaidia sana kuwasaidia kama
kuwalipia madeni na kukuonyesha
mali walizoficha kama walikua wanakupenda. 19. Kujiongezea maajabu ya maisha hapa utajifunza mengi kuona kila
kiumbe kisichoonekana kupajua
sehemu watu na nyumba kabla
hujaenda 20. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa
umejitibu hapa utaweza kujitibu
mwenyewe na wengine na wanyama
pia. Na Hizi bado ni baadhi tu: Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo
Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia
100.. 65% Ni Watu Wasioijua 25% Ni Watu Wanaoijua 10% Ni Watu Wanaoitumia.. Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya
Mwili Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili
Hapa Nitaielezea Moja... Njia Hizo Ni: 1; self Astral P... 2: Astral By Binaural Beats HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA
KWANZA: NI RAHISI TU.... 1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana 2: Lala Chali Mgongo Ukiwa
Umenyooka Vema huku umefumba
macho.... 3: utapata vishawishi kujigeuza au
kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala
kujitingisha kuwa kama soldier.... 4: Usitingishe Macho Wala
Kuchezesha Mwili Wako... 5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye
Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya
ubongo kuwa mwili unaota) 6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza
Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala
Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya
Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili
Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati wa Kuota
Mfano: sleep walking(unaota huku
unatembea) 7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo
Unaweza Kujitenga na mwili wako
ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni
upi mwili sahihi maana bado miili
miwili inakuwa imeshikana 8: ukiamka na mwili wako wa ganzi
kila kitu utakuwa umevuruga na
utaamka kwenye mwili wenye ganzi
(hii mimi ninauzoefu nayo pia
unajiona upo macho lakini mwili
hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana...
haichukui muda ni kama sekunde 10
ukianza kujishtua au kujitingisha ila
inashangaza kidogo wale wanafunzi
wangu mnajua hapa namaanisha
nini... Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi
Ni Sahihi? Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye
Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize
Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu
Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo
hutokea set ya mingine 9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili
Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua
Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili
Wako Uliouacha....... 10: Hongera Umeweza Fanya
Chochote Unachojiskia Hakina
Madhara Kwenye Real World....
lakini vipo ambavyo vinaonekana in
real world play safe there ANGALIZO: Wakati Unautizama Mwili Wako
Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa
Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver
cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo
Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama
Umepotea Njia.....