Serikalini hakuna kutunza siri ya mteja?

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Nimetoka kununua kitu lakini bahasha niliyofungiwa bidhaa ni nyaraka za TRA custom, ni release order ya mzigo wa mfanyabiashara wa Karagwe. Details zina thamani ya mzigo, hela aliyolipa kama kodi na address zake.

Pia kuna sahihi za wahusika kuruhusu mzigo kupita mpakani. Kuna siku nilikutana na CV ya mtu, na barua ya maombi ya kazi.

Siku nyingine nikakutana na barua ya kusimamishwa kazi mfanyakazi wa Halmashauri.

Najua wengi tunapokea hizi bahasha za kufungia chips na mishkaki lakini wangapi mmezipasua na kusoma content za ndani?

Je, wahusika hawalindwi na vifungu vya sheria taarifa zao kutunzwa?

Ni maadili mabovu kiasi gani kwa taasisi zinazoheshimika kuanika taarifa za watu hovyo?
 
Nimetoka kununua kitu lakini bahasha niliyofungiwa bidhaa ni nyaraka za TRA custom, ni release order ya mzigo wa mfanyabiashara wa Karagwe. Details zina thamani ya mzigo,hela aliyolipa kama kodi na address zake.

Pia kuna sahihi za wahusika kuruhusu mzigo kupita mpakani. Kuna siku nilikutana na CV ya mtu, na barua ya maombi ya kazi.

Siku nyingine nikakutana na barua ya kusimamishwa kazi mfanyakazi wa Halimashauri.

Wabongo hatutilii maanani ishu za usiri wa taarifa ya mteja
 
TZ kwenye suala la usiri tupo nyuma Sana. Huwa watu hawajali
 
Wameweka uwazi ili kupunguza mianya ya kutoa Rushwa maana kodi zote zipo kwenye mtandao wao siri gani tena itunzwe hapo...
 
Hii pia mpka baraza la mitiani...mitiani ya vijana imezagaaa sana mtaani kama kifungashio cha bidhaa nchini
 
Hatujali kuhusu siri na tunaona kawaida tu.
 
Hii pia mpka baraza la mitiani...mitiani ya vijana imezagaaa sana mtaani kama kifungashio cha bidhaa nchini
Haswaa yaan imezagaa mno, mie huwa najiuliza hawa wafanya biashara huwa wanapata wapi??

Kuna siku nilifungashiwa mshikaki kuja kuangalia kwa ndani ni mtihani wa Necta 4m 6 2020, nlishangaa mnoo.

Hadi nkajiuliza yule muhudumu kapata wapii.
 
Haswaa yaan imezagaa mno, mie huwa najiuliza hawa wafanya biashara huwa wanapata wapi??

Kuna siku nilifungashiwa mshikaki kuja kuangalia kwa ndani ni mtihani wa Necta 4m 6 2020, nlishangaa mnoo.

Hadi nkajiuliuliza yule muhudumu kapata wapii.
Ndio maana mambo ya kuapeal yanakuwa wanayakwepa kwa kuyawekea vitisho kumb3 nyaraka wanakuwa washazibi cycle
 
Ndo maana ake, na ile siku nilijiuliza hivyo, je muhusika siku yake akataka ku appeal kuhusu matokeo ya mtihani wake, watapata wapi mtihani wafanye uchunguzi ili kujiridhisha??

Na km hakuna sehemu ya kuhifadhi, si wawe wanachoma moto, kuliko kuweka hadharani siri za watahiniwa.
 
Nimetoka kununua kitu lakini bahasha niliyofungiwa bidhaa ni nyaraka za TRA custom, ni release order ya mzigo wa mfanyabiashara wa Karagwe. Details zina thamani ya mzigo,hela aliyolipa kama kodi na address zake.

Pia kuna sahihi za wahusika kuruhusu mzigo kupita mpakani. Kuna siku nilikutana na CV ya mtu, na barua ya maombi ya kazi.

Siku nyingine nikakutana na barua ya kusimamishwa kazi mfanyakazi wa Halimashauri.

Najua wengi tunapokea hizi bahasha za kufungia chips na mishkaki lakini wangapi mmezipasua na kusoma content za ndani?

Je, wahusika hawalindwi na vifungu vya sheria taarifa zao kutunzwa?

Ni maadili mabovu kiasi gani kwa taasisi zinazoheshimika kuanika taarifa za watu hovyo?
Unge wasiliana na huyo mhaya wa Karagwe mngetengeneza pesa.
 
TRA tunapen

TRA inapenda tolea ufafanuzi kuwa kama mleta taarifa hii ulivyosema kuwa nyaraka hiyo ilikuwa ni kibali kwa mteja cha kumruhusu kuchukua mzigo wake kwa maana kuwa alikwisha lipia kodi. Hiyo nyaraka ni mali ya mteja ndiyo maana ya neno
Nimetoka kununua kitu lakini bahasha niliyofungiwa bidhaa ni nyaraka za TRA custom, ni release order ya mzigo wa mfanyabiashara wa Karagwe. Details zina thamani ya mzigo,hela aliyolipa kama kodi na address zake.

Pia kuna sahihi za wahusika kuruhusu mzigo kupita mpakani. Kuna siku nilikutana na CV ya mtu, na barua ya maombi ya kazi.

Siku nyingine nikakutana na barua ya kusimamishwa kazi mfanyakazi wa Halimashauri.

Najua wengi tunapokea hizi bahasha za kufungia chips na mishkaki lakini wangapi mmezipasua na kusoma content za ndani?

Je, wahusika hawalindwi na vifungu vya sheria taarifa zao kutunzwa?

Ni maadili mabovu kiasi gani kwa taasisi zinazoheshimika kuanika taarifa za watu hovyo?
Tunapenda fafanua taarifa hii kama mwandishi alivyosema kuwa nyaraka hiyo ilishakuwa mikononi mwa mteja "release order" kwa maana mlipa kodi alishapata ruhusa ya kutoa mzigo wake forodha. Hivo nyaraka hii ilikuwa mikononi mwa mteja .TRA tunajali sana siri za walipakodi wetu na ni kinyume cha maadili kutoa siri za mteja.
 
Back
Top Bottom