Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,647
- 20,987
Rais wetu aendelee hivi hivi, hata mishahara isipandishwe, by automatic way bidhaa zitashuka kulingana na mshahara uliopo ni upuuzi mkubwa kupandisha mishahara huku una-regulate uchumi,
->Tunashuhudia hali nzuri sana mitaani,majumba yameshuka bei, fremu za biashara sasa ni nafuu sana, mama lishe vyakula vimeshuka bei mpaka 1200/- tukula wali nyama.
Mola akupe maisha marefu na afya tele mkombozi wa taifa na uchumi wetu.
•Tunakuomba regulate kwanza uchumi wetu, tunataka kuona fedha yetu inakuwa na heshima,ukiishika elfu kumi iwe elfu kumi kweli, na si kupandisha mishahara kila mara/.
•Mshahara huu uliopo unatosha sana tunataka kuona purchasing power ya hiki tunacholipwa.