Serikali yetu, irekebishe uchumi kwanza bila kuongeza mishahara

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,631
20,966
Rais wetu aendelee hivi hivi, hata mishahara isipandishwe, by automatic way bidhaa zitashuka kulingana na mshahara uliopo ni upuuzi mkubwa kupandisha mishahara huku una-regulate uchumi,

->Tunashuhudia hali nzuri sana mitaani,majumba yameshuka bei, fremu za biashara sasa ni nafuu sana, mama lishe vyakula vimeshuka bei mpaka 1200/- tukula wali nyama.

Mola akupe maisha marefu na afya tele mkombozi wa taifa na uchumi wetu.

•Tunakuomba regulate kwanza uchumi wetu, tunataka kuona fedha yetu inakuwa na heshima,ukiishika elfu kumi iwe elfu kumi kweli, na si kupandisha mishahara kila mara/.

•Mshahara huu uliopo unatosha sana tunataka kuona purchasing power ya hiki tunacholipwa.
 
Mtoa mada nakushauri kama una mdogo wako anasoma uchumi muombe akupe daftari lake upoitie topic inaitwa National Income na pia fanya review kwenye policies za Federal Reserve (Fed) ya marekani.
Ukimaliza kuzisoma hizo uje upitie upya thread yako.

Mwananchi wa kawaida.
 
Kwani hamjui kuwa hela hamna? Hata huo mshahara anaotoa anatamani kupunguza, walikuwa wanajua watakuwa wanakusanya 1.5 trillion kumbe wameua uchumi wenyewe.
 
Mtoa mada nakushauri kama una mdogo wako anasoma uchumi muombe akupe daftari lake upoitie topic inaitwa National Income na pia fanya review kwenye policies za Federal Reserve (Fed) ya marekani.
Ukimaliza kuzisoma hizo uje upitie upya thread yako.

Mwananchi wa kawaida.

Ukizungumzia icho, mtoa maada yuko sahihi kabisa
 
Rais wetu aendelee hivi hivi, hata mishahara isipandishwe, by automatic way bidhaa zitashuka kulingana na mshahara uliopo ni upuuzi mkubwa kupandisha mishahara huku una-regulate uchumi,

->Tunashuhudia hali nzuri sana mitaani,majumba yameshuka bei, fremu za biashara sasa ni nafuu sana, mama lishe vyakula vimeshuka bei mpaka 1200/- tukula wali nyama.

Mola akupe maisha marefu na afya tele mkombozi wa taifa na uchumi wetu.

•Tunakuomba regulate kwanza uchumi wetu, tunataka kuona fedha yetu inakuwa na heshima,ukiishika elfu kumi iwe elfu kumi kweli, na si kupandisha mishahara kila mara/.

•Mshahara huu uliopo unatosha sana tunataka kuona purchasing power ya hiki tunacholipwa.

naunga MKONO hoja ilifika mahali hapa arusha tunazungusha round tunaacha laki sita /saba kwa lisaa limoja kwa sasa haiIdi 100000
 
we jamaa hata general knowledge ya uchumi huna, kwa hiyo ongezeko la mishahara ndo linaua uchumi?

una hakika huku mtaani pesa ina thamani? kwa hyo kuuzwa kwa ubwabwa kwa buku na mia 2 ndo kupanda kwa uchumi?
 
Rais wetu aendelee hivi hivi, hata mishahara isipandishwe, by automatic way bidhaa zitashuka kulingana na mshahara uliopo ni upuuzi mkubwa kupandisha mishahara huku una-regulate uchumi,

->Tunashuhudia hali nzuri sana mitaani,majumba yameshuka bei, fremu za biashara sasa ni nafuu sana, mama lishe vyakula vimeshuka bei mpaka 1200/- tukula wali nyama.

Mola akupe maisha marefu na afya tele mkombozi wa taifa na uchumi wetu.

•Tunakuomba regulate kwanza uchumi wetu, tunataka kuona fedha yetu inakuwa na heshima,ukiishika elfu kumi iwe elfu kumi kweli, na si kupandisha mishahara kila mara/.

•Mshahara huu uliopo unatosha sana tunataka kuona purchasing power ya hiki tunacholipwa.
acha bangi ww
 
***
•unapoambiwa uchumi umekuwa / unataraji uone yapi?/
•Tunapoona vitu vikishuka bei mitaani maana yake ni nini?
 
•kuongeza mishahara kutaleta improper feature reflection kwa wakati huu ambao tunajaribu kuipa nguvu sarafu yetu au kuijengea purchasing power.
 
Mtoa mada nakushauri kama una mdogo wako anasoma uchumi muombe akupe daftari lake upoitie topic inaitwa National Income na pia fanya review kwenye policies za Federal Reserve (Fed) ya marekani.
Ukimaliza kuzisoma hizo uje upitie upya thread yako.

Mwananchi wa kawaida.
Waweza pitia lakini usielewe kilichoandikwa wewe unadhani uchumi ni makala?
 
we jamaa hata general knowledge ya uchumi huna, kwa hiyo ongezeko la mishahara ndo linaua uchumi?

una hakika huku mtaani pesa ina thamani? kwa hyo kuuzwa kwa ubwabwa kwa buku na mia 2 ndo kupanda kwa uchumi?
Jambo kubwa ni kuongeza uzalishaji wenye tija na watu watakapokuwa wanapata pato lenye tija ikiwa ni wote waliojiajiri na walioajiriwa. Kwahiyo watumishi kupata mishahara mizuri na watu waliojiajiri kwenye sekta zote iwe kilimo, madini na katika sekta nyingine wakipata masoko au mapato mazuri wataongeza uzalishaji hivyo uchumi utakua kuanzia kwa mtu mmojammoja hadi taifa kwa ujumla
 
Ni principle ya kwamba watu wakiwa hawana pesa matumizi yanapungua and then demand yashuka ikishuka demand na price automatically inashuka .price ya vitu ikishuka production na investment nayo yashuka na investment na production ikishuka employment automatically hushuka na hilo ndio jambo baya zaid kutokea katika nchi.kwa hio mtoa mada usiombee jambo hili litokee maana ni jambo baya sana kwenye uchumi wa nchi na hasa nchi masikini kama hii.kwa sababu hata hao wawekezaji wanahitaji wawekeze sehemu ambayo kuna higher demand ili wapate faida lkn wakiona inchi aggregate demand IPO chini investors huwa ngumu sana kuja kuwekeza ndani nchi yetu hii.na hili litakwamisha juhud za mheshimiwa rais kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda..narudia tena somo la uchumi ni bora kuliko somo la sayansi.kwa sababu sayansi inasababisha uzalishaji wa bidhaa na uchumi inarekebisha huo uzalishaji ili uendane na hali nzima ya nchi ili producer aweze kupata faida.na tatizo la nchi sio uzalishaji tatizo tumeshindwa kurekebisha tunachozalisha na hali ya nchi kwa wakati huo.chukulia hali ya soko la nyanya kwa sasa jinsi lilivyo kuwa bovu yaani ndoo moja ya nyanya ni shillingi 1000 hivi huyu mkulima unadhani hapo mwaka ujao atalima tena?
 
Rais wetu aendelee hivi hivi, hata mishahara isipandishwe, by automatic way bidhaa zitashuka kulingana na mshahara uliopo ni upuuzi mkubwa kupandisha mishahara huku una-regulate uchumi,

->Tunashuhudia hali nzuri sana mitaani,majumba yameshuka bei, fremu za biashara sasa ni nafuu sana, mama lishe vyakula vimeshuka bei mpaka 1200/- tukula wali nyama.

Mola akupe maisha marefu na afya tele mkombozi wa taifa na uchumi wetu.

•Tunakuomba regulate kwanza uchumi wetu, tunataka kuona fedha yetu inakuwa na heshima,ukiishika elfu kumi iwe elfu kumi kweli, na si kupandisha mishahara kila mara/.

•Mshahara huu uliopo unatosha sana tunataka kuona purchasing power ya hiki tunacholipwa.
mnajipendekeza mpaka mnatia kinyaaa.
 
Hata deflation unayoishangili pia sio nzuri Kwa nchi inayojipambanua uchumi wake unakua Kwa 5%+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom