ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,399
Mambo yamekaa Kona kila iitwapo Leo Mambo yanazidi kuwa mabaya tu serikali inaahidi kitu lakini kinakuwa hakina muendelezo wake.Mnaenda kufanya interview na mnafaulu lakini kazini hamuitwi kazini hii Ina maana gani?
Au waziri anamuamrisha mtu wa chini yake afuatilie Jambo fulani lakini unakuta hamna mrejesho mnaopewa Tena.
Unaweza kutaman mpaka ungezaliwa tu hata Namibia huko.
Au waziri anamuamrisha mtu wa chini yake afuatilie Jambo fulani lakini unakuta hamna mrejesho mnaopewa Tena.
Unaweza kutaman mpaka ungezaliwa tu hata Namibia huko.