figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Nilitegemea wizara ya Mambo ya ndani inayohusika na usajili wa NGOs ndiyo ihusike au siku hizi wizara ya Afya ndiyo inahusika na usajili.
I must be frank,sizipendi NGOs.Zipo kwa ajili ya kutekeleza agenda za the New World Order au kwa kujua au kwa kutokujua.This is good move,hongera JPM.Serikali imetoa siku 30 kwa mashirika yote yasiyo ya kiserikali kuwasilisha kwa msajili wa NGOs taarifa zake za fedha,vyanzo vyake vya fedha pamoja na miradi ilinayotekelezwa na inayotarajiwa kutekelezwa.
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee Na watoto Dk Faustine Ndugulile ametoa taarifa hiyo jijini Dodoma leo, ambapo amesema mashirika ambayo hayatafanya hivyo yatafutiwa usajili.
Dk Ndugulile amesema kumekuwa na tatizo la NGOs kufanya shuguli ambazo sio kipaumbele cha Taifa na wajibu wa kisheria, hivyo baada ya zoezi hilo kukamilika mashirika hayo yatatakiwa kutoa Taarifa zao za fedha pamoja na vyanzo vyake kwa serikali kila mwaka.
"Akimaliza kwetu atahamia kwenu" Tundu Lisu
What did you find out?Hiii ni kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge yaani Tanzania NGO's Act ya mwaka 2002, sheria hii inayataka mashirika haya kudeclear financier wao, kazi wanazofanya na fedha zinatumikaje...Niliifanyia utafiti mwaka 2013/14 nikiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu
Hiii ni kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge yaani Tanzania NGO's Act ya mwaka 2002, sheria hii inayataka mashirika haya kudeclear financier wao, kazi wanazofanya na fedha zinatumikaje...Niliifanyia utafiti mwaka 2013/14 nikiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu
Kiasi mkuu ila kuzipata we isome hiyo sheria utajua kuwa Waziri kasisitiza sheria sio maneno yakeyou've a lot of inputs regardingthe subject.
Kiasi mkuu ila kuzipata we isome hiyo sheria utajua kuwa Waziri kasisitiza sheria sio maneno yake
Sheria inaelekeza alichosema Wazir kama upungufu ni wa kawaida sana kama ilivyo ktk sheria nyingi za Kiafrika, nakusihi soma sheria mshauri mbunge wako aombe amendment kama inahitajikaWhat did you find out?
Thesis siwez ila sheria nenda google ni sheria ya NGO ya mwaka 2002huwezi nirushia sheria yake n if possible ya thesis through PIM.
Vipi TWAWEZA nayo ipo?Serikali imetoa siku 30 kwa mashirika yote yasiyo ya kiserikali kuwasilisha kwa msajili wa NGOs taarifa zake za fedha,vyanzo vyake vya fedha pamoja na miradi ilinayotekelezwa na inayotarajiwa kutekelezwa.