Serikali yazitaka NGO's zote nchini kuwasilisha kwa Msajili taarifa za vyanzo vya Mapato

NGO's & CBO's are non governmental and non profit organizations. Kwa nn wazifuatilie mapato wakati hazifanyi biashara? Waanze na vyama vya wafanyakazi ambavyo viko chini ya TUCTA maana ndo vinaumiza watumishi kwa makato ya mishahara. Kuna wale wanaitwa CWT wanaumiza sana walimu na mapato yao hayajulikani yanaenda wapi.
Hao ni watiifu na siyo wakosoaji na viherehere
 
Juzi nliskia kuna NGO inaanza kuhamasisha wananchi nchi nzima kudai katiba mpya kabla ya 2020.. Na kuna wengine wa uzazi wa mpango

Hapo lzm watuhumiwe "kufanya shughuli ambazo cyo kipaumbele cha jiwe/taifa?" Watadaiwa vyeti vya kuzaliwa vya mababu hawa.

Wakijiongeza kuunga mkono juhudi ndo salama yao
 
I must be frank,sizipendi NGOs.Zipo kwa ajili ya kutekeleza agenda za the New World Order au kwa kujua au kwa kutokujua.This is good move,hongera JPM.
Usilolijua Ni kama usiku WA giza! Unajua tulifutiwaje madeni wakati WA utawala WA Mkapa? Hiyo flyover mnaomba msaada nyie? Je UDART unajua imekukakujaje? Ukiachia mbali miradi ya afya, kilimo na capital projects kibao?

Don't comment on things you don't know or lather you aren't certain!
 
Nilitegemea wizara ya Mambo ya ndani inayohusika na usajili wa NGOs ndiyo ihusike au siku hizi wizara ya Afya ndiyo inahusika na usajili.
Kuna NGO zinagawa vilainishi kwa mashoga,sasa wewe tegemea wizara ya mambo ya ndani tu
 
kwanza serikali imechelewa kufanya ufuatiliaji huo. hizi NGO ziko kwa ajili ya manufaa ya umma. MAANA wanapata misaada na michango toka kwa wafadhili baada ya kutoa mipango ya jinsi watakavyo wasaidia kundi fulani la JAMII katika kupambana au kutatua changamoto zao. hivyo ni vyema na haki wakawa na uwazi katika mapato na matumizi YAO. isije ikawa wanatumia michango ambayo waliiomba kwa kusaidia watoto yatima, badala yake wakatumia tofauti. ni wakati sasa SERIKALI iwe na miongozo ya namna GANI bora ya kusimamia hilo.
Hili ni jambo jema sana na kama serikali ilikuwa haifuatilii hizi NGOs basi itakuwa ni udhaifu ndani ya taasisi husika za serikali. Binafsi ninafanya kazi na hizi NGOs na kwa kawaida huwa kuna mikataba baina ya serikali na hizi NGOs ambayo inaonyesha kwa kina kile ambacho zinafanya na namna zinavyoshirikiana na serikali. Katika shughuli hizi NGOs huwasilisha taarifa za kila robo za utendaji na mipango kazi ya kila robo na kila mwaka.

NGOs nyingi, hasa za kimataifa huwa zinafanya vikao na serikali kila robo, mara mbili au mara moja kwa mwaka. Mara nyingi taarifa za kina huwa katika level ya halmashauri.

Serikali inatakiwa kuzijengea uwezo taasisi zake ili taatifa hizo ziwe zinapatikana kwa urahisi katika ngazi za wizara husika.
 
tundu lisu ameshawafanya baadhi ya watu wasijishughulishe kufikiri, badala yake wamemuachia afikiri kwa niaba YAO.
nyie hamuoni watu wanavyotumia vibaya hizo fedha za wanyonge.

Great thinker huwa hamfuati Mtu kama Shabiki ,Great thinker huwa ana jadili Hoja sio Watu tafadhali jikite kwenye Mada.
 
Usilolijua Ni kama usiku WA giza! Unajua tulifutiwaje madeni wakati WA utawala WA Mkapa? Hiyo flyover mnaomba msaada nyie? Je UDART unajua imekukakujaje? Ukiachia mbali miradi ya afya, kilimo na capital projects kibao?

Don't comment on things you don't know or lather you aren't certain!
NGO inahusika na ujenji wa Flyover!Kweli juha ni juha tu.Halafuu,panya si panya tu,hata akiuma na kupuliza.Funny,kwa hiyo mwizi akikugawia pesa ya wizi sio mwizi?It seems wewe upo in one of the NGOs, ndio maana unazitetea na confession yako ina prove what I have known all along.Ninyi ni watoto wa mabeberu,watoto wa wezi wa resources zetu and are here to serve their interests, not our motherland.You are being used as Trojan horses!Angalia video zifuatayo labda zitakufungua masikio.









As a matter of interest, "lather" umeitumia ikiwa na maana gani hapa,"rather? "Nadhani ni Rasi Simba hii.
 
Juha ni juha tu,panya ni panya tu,atauma na kupuliza lakini anabaki kuwa panya.Kwa hiyo mwizi akikugawia pesa ya wizi sio mwizi?Wewe upo in one of the NGOs ndio maana unazitetea na confession yako ina prove what I have known all along.Ninyi watoto wa mabeberu,watoto wa wazi wa resources zetu and are here to serve their interests, not our motherland.
Kiufupi labda hujielewi! You seems young na hujuu hata Lugha unaandikaje? Ikitokea Mimi Ni babayako utaandika hivyo kuwa Mimi juha? Huku tunaargue watu WA different age group or unless huna wazazi!

Sina NGO ILA najua appraisals na nimefanya many ambozo zilikuwa successfully najua ninachokisema na labda ungekuwa na busara ungeuliza kuliko kutukana Bwana mdogo! Beware usije pata laana simply for attention seeking!
 
Back
Top Bottom