Mimi wala sio mchaga...huu unafanya ni utoto...wachaga wajinyonge kwanini...?mbona unakua mkabila hivyo?
Kama ni maendeleo katika dhana hii mbona Kilimanjaro iko maili nyingi mbele kuliko Chato...
Wananchi wanadanganywa kwa maneno halafu wanaanza kusifia kweli hahaa ukweli ni kwamba wanazindua vilivyopo na kuchezea kodi bila vipaumbele wananchi wa geita karibia wote wana simu za mkononi na wanaperuzi kwenye internet
Vipaumbele vya watu wa Geita ni vingi sio kwenda kuwafungulia Internet cafe halafu kuizindua kwa mbwembwe.