Kupitia kituo hiki, wafanyabiashara watapata bei za bidhaa mfano kukiwa na mnada wa ng’ombe, utapata bei za sehemu mbalimbali nchini na nchi nyingine na kuuza ng’ombe kwa bei ya soko,”alisema.
Nimesikia UBER wamefungua ofisi huko na UDART wanapeleka mabasi 4 ya mwendo kasi kuwazaidia wananchi wasipoteze muda kwenye foleni.Jiji la chato linakuja kwa kasi.
Kikubwa tu mjitahidi kuwafundisha Punda kuzumia taa za barabarani
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe jana alizindua kituo hicho cha Tehama ambacho kimejengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Chato.
Aliipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa ubunifu wao kwa kujenga kituo cha Tehama kwa lengo la kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma za mawasiliano katika maeneo wanayoishi
Ile crdb ni maagizo toka jiwen, hata hiyo kumbe hujui kinachoendeleaWengi wa waliokwisha tangulia kuweka comments zao wanaruka kuzisoma kwa uzuri hizi paragrafu mbili...