HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 308
- 113
yeye ametembelea chuo kimoja akabaini hayo, wewe umetembelea vyuo vingapi au unaleta tu porojo za kisiasa kama kawaida yako? watoto wetu wanataabika wewe unasifia uzembe?Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Muhas kweli kabisa nina mdogo paleVyuo vipo vingi sana juzi nilikuwa ofisi ya mkuu wa mkoa mmoja alikuja rais wa chuo ikapigwa simu bodi wakasema vipo vyuo zaidi ya 20 kikiwemo Muhimbili,na Bugando
duh! Hii ya kusema "wasichana wengi wakiwa wanajiuza" huu ni udhalilishaji mkuu. Ungetafuta kauli nyingine ya kufikisha tatizo lao pasipo kuwadhalilisha dada zetu.Zaidi ya vyuo vikuu 20 hapa nchini havijapatiwa pesa yao ya kujikimu baada ya kutakiwa kupewa pesa hiyo katika ya mwezi wa 5, hali iliyopelekea baadhi ya vyuo kuwazuia wanafunzi wake kufanya mitihani yao ya mwisho inayoanza wiki ijayo kwa baadhi ya vyuo kwani wengi wa wanafunzi hao hutumia pesa hizo kukamilisha ada za chuo kutokana na kulipiwa pesa kidogo na bodi ya mikopo.
Nimetembelea chuo kimoja hapa nchini nakuzungumza na wanafunzi wengi wamekataa tamaa huku wakizongwa na madeni, na kodi toka kwa wamiliki wa nyumba. Huku wasichana wengi wakijiuza ili kukidhi mahitaji yao.
My take :
Mh Rais alisema kuwa akiingia madarakani hatapenda kuona wanafunzi wamecheleweshewa mikopo yao ni wakati sasa wanafunzi hao walipwe pesa zao za kujikimu.
Acha dharau wewe kinachozungumza hapa ni ukweli mtupu ni mwenyewe nina wadogo zangu wako vyuo tofauti na pesa hawajapewa nina lazimika kuwa tumia pesa kila wikiWewe kusoma kwako VETA usijiseme eti na wewe ulipita chuo! Ivi kwenye mitandao ndio mnajipaisha hivi, Duh! Inamaana ningekuwa sikujui, ningeamini.
Hiyo ndio hali halisi mkuu.duh! Hii ya kusema "wasichana wengi wakiwa wanajiuza" huu ni udhalilishaji mkuu. Ungetafuta kauli nyingine ya kufikisha tatizo lao pasipo kuwadhalilisha dada zetu.
Umekurupuka kujibu. Soma vizuri nilicho jibu sio kukataa kama hawajalipwa!Acha dharau wewe kinachozungumza hapa ni ukweli mtupu ni mwenyewe nina wadogo zangu wako vyuo tofauti na pesa hawajapewa nina lazimika kuwa tumia pesa kila wiki
Uwe una unatumia kichwa chako kufikiri sawa sawia sio kufugia nywele.
[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23]
Hujui serikali inawafanya wananchi wake wawe maskini.Mmekazana "watoto wa masikini, watoto wa masikini".
Kwani umasikini walipewa na Serikali?
Usihangaike kumjibu mtu kama Lizaboni. Hajui u-DC tayari bado anategemea uteuzi.Zoezi la uhakiki linahusiana vipi na kucheleweshewa mikopo kwa watoto hawa wa wanyonge, mbona kuna vyuo vimepata pesa zao inakuwaje vichache vikose na bodi waseme hawana pesa.
Unataka kusema nini hasa? Your brain has become senile. Poor you.Mmekazana "watoto wa masikini, watoto wa masikini".
Kwani umasikini walipewa na Serikali?
Ficha upumbavu wako[emoji57]Umekurupuka kujibu. Soma vizuri nilicho jibu sio kukataa kama hawajalipwa!
U nataka kusema nini hasa? Your brain has become senile. Poor you.
Hapo sasaNapata mashaka sana kuhusu Tanzania ya viwanda kama hata kuwapa vijana hela ya kujikimu inashindikana. Tumeumia