Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
kuna mgongano si kidogo.. inashangaza.. kwa namna fulani inanipa jibu kuhusu Rais kung'ang'ania kudai serikali ya Uingereza inamiliki BAE.. I can see the connection
Ndugu Mwanakijiji shukrani kwa matangazo kuhusu hali za vijana huko Ukraine.Katika maelezo yao vijana wameeleza waziwazi kuwa hali ni ngumu na pengine hii March watafukuzwa sio shule tu ,bali hata kuishi kwenye Hostel za shule hizo.Nimewahi kuishi sehemu hizo na natambua hali ngumu wanayokabiliana nayo, haswa kipindi hiki kigumu cha baridi!
Wale mliopo nyumbani haswa Ikulu,tunawaomba mumpitishie Mh Rais Fax walioleta vijana hao ili wapatiwe ufumbuzi.Mh Chabaka Kilumanga (President Personal Secretary) najua utakuwa umeiona hiyo fax,na kwa kuwa unaingia humu naomba shughulikia hilo.Una uzoefu mkubwa na masuala ya Russia/Ukraine kwa sababu umesoma huko na kufanya kazi kwenye Embaassy yetu Moscow.P/se shughulikia hilo kwa sasa,kwa sababu una nafasi na ushawishi mkubwa kwa walio madarakani nyumbani.Hali ni ngumu na kama kuna uwezekano sikilizeni podomatic ya Mwanakijiji ili mjue hali halisi.Ni matumaini yetu matatizo ya vijana yatapatiwa ufumbuzi!.

Dr WHO!mbona mnapata Tabu?
Rais alishatoa namba yake ya simu sasa kwanini kama kuna evidence za kutosha basi dawa ni kumsemelea kwa Rais kisha tuone nani mkubwa JK au balozi
desperate times always call for desperate measures
BBC Idhaa ya kiswahili ilishafanya mahojiano na balozi Chokala katika kipindi chake cha Dira wiki iliyopita,Ungeyasikia ungetamani kulia kwa hayo majibu hasa ukizingatia hali waliyonayo hao vijana.Na kumbuka huyu alikuwa mmoja wa wagombea nafasi ya Urais.Kwa nini SAIDI YAKUBU wa BBC asijaribu kufuatilia hali ya wanafunzi wa kitanzania UKRAINE?
Japo si mjaji san humu lakini naamini hii issue inaweza ikawa News kwa BBC