Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Mnachangamkia jamani au ndo mambo kama haya hayawezekani?
Mwanakijiji ni msemaji wetu na anamiliki redio. mimi sina Redio wala gazeti na matajiri kama Mengi hupenda kutajwa kwenye vyombo vya habari.

Mkandara na Nyani, wazo hilo siyo baya tatizo ni kuorganize. Kama jumuiya zinaweza kuona umuhimu wa kuchangia aidha kwa kuandaa fundraiser au kwa kutoa mifukoni (kwa kuhamasisha wajumbe) basi sioni ubaya au ugumu wake. Mwenye email za jumuiya mbalimba tafadhali nipenyezee.
Jamani, tusiwe watu a kuongea tuuuuuuuuu. We need action. Kama mnaona wanafunzi wanahitaji msaada, why not start amongst ourselves? Tuwapeni mfano serikali, ya kwamba, kama wameshindwa, sisi tunaweza kuwasaidia walioathirika. mimi binafsi, ninatafuta njia ya kuwasaidia. Nitawaeleza leads of how to make your contribution.
And dont worry, it wont be on my Bank account.....LOL