Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu ukosefu wa Jengo la Kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa Shinyanga

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,555
IMG_8080.jpeg

Kufuatia taarifa iliyotolewa na mtandao wa Jami Forums Tarehe 14/07/2023 kuhusiana na upatikanaji wa huduma za Chumba cha Kuhifadhia Maiti (Mortuary) katika Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, Hospitali inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu suala hili kama ifuatavyo:-

Baada ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la wagonjwa wanaotumia Hospitali iliyopo mini (Government), pia kutokana na ufinyu wa eneo kwa ajili ya kuongeza miundombinu ya majengo ili kutoa huduma kwa wananchi, Serikali iliona ni vyema kuanza ujenzi wa Hospitali mpya ya kisasa katika Kata ya Mwawaza.

Vilevile, utoaji wa huduma katika Hospitali hii mpya katika eneo la Mwawaza, umeanza rasmi tarehe 01/07/2023 kwa huduma zote za msingi zinazotakiwa kutolewa katika Hospitali za Rufaa za Mikoa.

Aidha, baadhi ya huduma ikiwemo ya chumba cha kuhifadhia maiti (Mortuary) zinaendelea kutolewa katika Hospitali ya zamani ya Mkoa kwa utaratibu rasmi.

Ujenzi wa Jengo la Mortuary katika hospitali mpya ya Mkoa unaendelea katika mwaka huu wa fedha (2023/2024), ambapo Bajeti yake imetengwa na taratibu za awali za jenzi zimeshaanza.

Pia soma: Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari
 
View attachment 2693455

Bora wamelijibu
 
Back
Top Bottom