Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
nani kakwambia ni lazima!??? na nani kakuzuia kuiunda msikitini bila kushilikisha Serikali!?Mahakama ya Kadhi ni Lazima upende usipende kwani nyie mlizuiliwa???
Mahakama ya Kadhi ni Lazima upende usipende kwani nyie mlizuiliwa???
Source: Mwananchi
Uzuri wa hawa jamaa 'project' yao hata ikae miaka 100 huwa hawaachi wala kukata tamaa
LAZIMA Tanzania iingizwe kwenye sheria katili na baguzi za kiarabu.
Wacha nichape kazi nijenge nchi yangu masikini.
we mawazo yako madogo nani anayeleta udini?? Kama si wewe unayesaport mahakama ya kadhi!hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, je unajua maana ya muslims kuwa na mahakama ya kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.
tanzania inaenda kubaya sasa ipo cku wakatoliki nao watadai mahakama yao kama waislamu je itakuwaje..?
Mimi binafsi sikupenda kabisa kauli ya Dr. Bilal kuongelea mahakama ya Kadhi kitu ambacho naona ni delicate sana kwa nchi yetu ambayo imekumbwa na udini wa hali ya juu hasa wakati wa uchaguzi na katika serikali ya kipindi hiki.
Yeye kama makamu wa Rais hakupaswa hata kidogo kuanza kuwatia moyo waislamu kuwa serikali inashuhulikia mahakama ya kadhi hali ni swala linalohitaji baraka za bunge na wananchi. Alipaswa kuwa mwangalifu kwa kauli zake and not kukurupuka na kuongea mambo yasiyo ya msingi akisahau kuwa kampeni zimekwisha. Hii ndio shida ya kuweka watu kwenye uongozi just kuwaridhisha mashabiki badala ya kuangalia competence.
Hili swala la mahakama ya kadhi litachochea sana machafuko ya kidini Tanzania kwani naamini ni wakristo wengi pamoja na baadhi ya waislamu ambao hawataki kusikia kitu kinaitwa mahakama ya kadhi kwenye katiba ya nchi hii. Kwa nchi kama Tanzania ambayo imezungukwa na Pwani zilizojaa udini mkali wa kiislamu kwa kuangalia tu matokeo ya kura za kwenye uchaguzi wa 2010 katika maeneo hayo; ni hatari sana kuanza kufavor dini moja na kuacha zingine. No wonder waislamu walikuwa wanapiga kampeni za aidha kumchagua Kikwete au CUF wakitaka nchi iongozwe na waislamu watupu.
Hizo scaremongering machafuko hayawezi kuja kwasababu ya mahakama ya kadhi. Ndio maana sasa napata picha kwanini baadhi ya wapinzani wameshindwa kumbe ubaguzi wa kidini unawasumbua. Tanzania yetu sote mkuu!!!
Big up mkuu, Una support yangu.
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.