Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Source: Mwananchi

Uzuri wa hawa jamaa 'project' yao hata ikae miaka 100 huwa hawaachi wala kukata tamaa

LAZIMA Tanzania iingizwe kwenye sheria katili na baguzi za kiarabu.

Wacha nichape kazi nijenge nchi yangu masikini.
 
Ubaguzi wa kidini huo na kama ni hivyo wakristo nao wadai mahakama yao kwani TZ ina dini siku hizi?
 
Huu ni upuuzi. Suala linafikiwa mwafaka, lakini linarudi kama halikuwahi kujadiliwa. Mimi nashangaa sana. Mungu wasaidie watoto wako maana wanapotea kwa kukosa maarifa. Waangazie ee Bwana Yesu ili waweze kuwa na maarifa.
 
Mahakama ya Kadhi ni Lazima upende usipende kwani nyie mlizuiliwa???
nani kakwambia ni lazima!??? na nani kakuzuia kuiunda msikitini bila kushilikisha Serikali!?
Msiingize mahakama ya Kadhi kwenye uongozi wa nchi pelekeni MISIKITINI HUKO!
 
tanzania inaenda kubaya sasa ipo cku wakatoliki nao watadai mahakama yao kama waislamu je itakuwaje..?
 
Source: Mwananchi

Uzuri wa hawa jamaa 'project' yao hata ikae miaka 100 huwa hawaachi wala kukata tamaa

LAZIMA Tanzania iingizwe kwenye sheria katili na baguzi za kiarabu.

Wacha nichape kazi nijenge nchi yangu masikini.

Dalili ya watu kuja kuanza kuikimbia TAnzania inaonekana sasa. Sijui kama watu watakubali SHaria law
 
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.
 
hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, je unajua maana ya muslims kuwa na mahakama ya kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.
we mawazo yako madogo nani anayeleta udini?? Kama si wewe unayesaport mahakama ya kadhi!
 
Mimi binafsi sikupenda kabisa kauli ya Dr. Bilal kuongelea mahakama ya Kadhi kitu ambacho naona ni delicate sana kwa nchi yetu ambayo imekumbwa na udini wa hali ya juu hasa wakati wa uchaguzi na katika serikali ya kipindi hiki.

Yeye kama makamu wa Rais hakupaswa hata kidogo kuanza kuwatia moyo waislamu kuwa serikali inashuhulikia mahakama ya kadhi hali ni swala linalohitaji baraka za bunge na wananchi. Alipaswa kuwa mwangalifu kwa kauli zake and not kukurupuka na kuongea mambo yasiyo ya msingi akisahau kuwa kampeni zimekwisha. Hii ndio shida ya kuweka watu kwenye uongozi just kuwaridhisha mashabiki badala ya kuangalia competence.

Hili swala la mahakama ya kadhi litachochea sana machafuko ya kidini Tanzania kwani naamini ni wakristo wengi pamoja na baadhi ya waislamu ambao hawataki kusikia kitu kinaitwa mahakama ya kadhi kwenye katiba ya nchi hii. Kwa nchi kama Tanzania ambayo imezungukwa na Pwani zilizojaa udini mkali wa kiislamu kwa kuangalia tu matokeo ya kura za kwenye uchaguzi wa 2010 katika maeneo hayo; ni hatari sana kuanza kufavor dini moja na kuacha zingine. No wonder waislamu walikuwa wanapiga kampeni za aidha kumchagua Kikwete au CUF wakitaka nchi iongozwe na waislamu watupu.
 
Hizo scaremongering machafuko hayawezi kuja kwasababu ya mahakama ya kadhi. Ndio maana sasa napata picha kwanini baadhi ya wapinzani wameshindwa kumbe ubaguzi wa kidini unawasumbua. Tanzania yetu sote mkuu!!!
 
Big up mkuu, Una support yangu.
 
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!
 
Big up mkuu, Una support yangu.

Kaka tupo pamoja hizi tactics za baadhi ya watu kudhani eti tanzania ya kikiristo zinaniboa sana. In fact kwa statistics waislamu ni wengi kuliko madhehebu mengine yote. Lakini kwakuwa jamaa walihodhi madaraka tangia enzi za nyerere wanataka kutufanya waislamu tuwe underdogs kila siku kuleta mada zenye kuchafua tu hali ya hewa. Tutaumana humu ndani mpaka kieleweke hii karne ni nyengine wazee.
 
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!

Haya unaona mkiona hamna hoja mnakimbilia kudai Tanzania haina dini ila watu wake wana dini what a crap!!!!
 
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.

Muslimu for muslimu not for all TAnzanian. Hivi Kodi zitokanazo na kuuza nguruwe, Pombe nazo zaweza endesha mahakama ya kadhia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom