Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Makusanyo ya mwezi November ni shilingi ngapi? Tuanzie hapo. Kama serikali hii inakusanya trilioni moja kwa mwezi na matumizi ya mishahara peke yake ni bilioni 550 hakuna namna unaweza kutoa trilioni moja ya dawa labda mtuambie mmetenga trilioni moja, ingawa raisi alituambia bajeti ya dawa ni bilioni 800.
Kwanza tujulisheni makusanyo ya November please
Kwanza tujulisheni makusanyo ya November please