Kwanza tulitoa 40 billion = USD 20 million
Sasa 1trillion = USD 500 million
Bomoa kichwa
Mkuu,
Hata mimi nina shaka na tarakimu hizi yaani toka Billioni 40 iongezwe mpaka Billioni 1000 (Trilioni 1).
Ina maana bajeti imeongezwa mara 25! Billioni 40 x 25 = Billioni 1,000 ( sawa na trillion 1)