Ishengoma hizi kauli zako kusema kweli zimepitwa na wakati!Kwa kifupi wewe unapendelea nchi yetu ibaki dormant!Unataka ikwame tu!Wananchi wamelala na wewe unazidi kushabikia usingizi huo!Ikatuchukua watanzania Mnorway kuhoji haki zetu...na mwingereza kutuvumbulia mfisadi.. na sasa inatuchukua mganda kuhoji haki zetu!Which side of the history are you going to be Mr Ishengoma?
kauli gani, bwana Mushi, kukataa kusupport kwa sababu hamna hoja za msingi, kukataa kwa sababu kuna njia nyingine zainazoweza kusaidia vijana wetu waendelee kusoma kwa amani, kukataa kutokubaliana na vitendo vya kuhuni?
nani alijua kuwa uma unaweza kutumia bongo kuleta mageuzi badala ya vita na kumwaga damu, nani alijua kuwa bunge letu lingeweza kumshinikuza waziri mkuu wetu ajiuzuru na wafauasi wao kwa amani?
ninajua kuwa sir plato aliwahi kusema kuwa kuna watu walioumbwa kwa asili ya kupigana pigana na hivyo kudhani kuwa jibu la hayo yote ni kipigo tu, na wengine walizaliwa kwa kuongea na kufikiri kuwa wanaotumia lugha iliyojengeka inaweza kufanya bora kuliko kupigana. hata hivyo tuangalie kwa makini kila theory na wala sio kumeza tu eti kwa sababu tumeambiwa hivyo.
nimetumia neno KUWAACHILIA FFU kwa kuwa hawa FFU ni kama wale mbwa wa polisi, hawana kipimo wala hawajui kusoma picha.
ingelikuwa FFU ni watu na hawafanani na mbwa wa polisi wasingeenda kumpiga mtu mjamzito.
Yaani hapo mkuu umenena. huwa najiuliza kuhusu hawa FFU, huwa wanalishwa nini hasa? bangi? maana ukiangalia macho yao, ukitathmini akili zao, haziendani kabisa na za kibinadamu. Niwieni radhi kwa kusema hili, lakini hawana tofauti na mbwa kweli kabisa - kama mbwa yule aliyeagizwa akabake kale kabinti ka Sengerema, na akafanya hivyo kweli - hao ndio FFU.
hakuna lolote nimegundua kuwa hawa wanafunzi ni vandals.. wamevunja kule swimming pool. kuiba bia na soda. wamevunja mabweni... kitu ambacho hakina uhusiano na malalamiko yao. wengine wamekamatwa na 5kilos za bangi.
they behave like animals andd deserve kuwatreated the same... yule msichana hajafa wala nini..... mzima and so is her baby...
I strong disagree na matamshi yako. Kama umepitia UDSM utafahamu what is inside Mlimani. Daruso students believe they're on top of everything. I know kwamba maproffesor wana matatizo yao, kuanzia maswali magumu mpaka kulikisha madesa kwa wanawake.
Chuo hakina anystrategy ya kuwaadhibisha hawa waandamanaji, the only way ni kuwatimu chuo. UDSM wame jaribu kuimpliment njia mbali mbali za kureduce migomo, lakini wanafanzi are out of touch.
Mwalim aliwatimuwa wanafunzi sababu ya migomo yao hii hii ya kipuuzi, na dharau zao za kuamini kwamba sababu wanaweza kusolve maswali ya Static then wao ni smart people on earth.
Jee unge suggest nini kama wanafunzi washawai kugoma kisa hawana calculator? Serikali ina spend million of shilling kuwafund hawa vijana, then payback yao ni kugoma. Do you know how many students wish wangepata chance ya kwenda pale mlimani? What the point ya kuwa na wanafunzi walevi, wavuta bangi, malaya, na washenzi?
If they think their grown and smart than every Tanzanian then how about paying their own school fees? Na kuachia wale wenye shida ya loan and grant.
I know serikali yetu ina matatizo, lakini kwa hili i think mchawi wetu ni hawa wanafunzi and not serikali.
Ikumbukwe kwamba walioko mlimani ni intellectuals,tusiwahukumu jamani kwa mambo tusiyoyajua,mimi naamini kwamba watu hawa wana akili timamu,hawawezi kugoma kwa mambo ya kipuuzi,ombi langu wadau naomba tuwape support.Watu wa UDSM,mimi niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
9784,
Who do you call intellectuals? Hawa wanafunzi waliogoma kwa kukosa kuwa intellect and intelligent?
wamegoma kwasababu, demokrasia ya wao kuchagua viongozi wa serikali ya wanafunzi wawatakao imepindishwa, wamegoma kwasababu tatizo la maji limekuwa sugu, wamegoma kwasababu umeme unakatika hovyo, lift hazifanyi kazi....mgomo huu ni halali! kama unadhani kukosa calculator ni jambo dogo, basi lazima una matatizo na wanaozihitaji ni wale ambao hawapo pale kwa degree ya history, otherwise maisha ni magumu sana kwa sayansi students bila calculator.
hayo mambo ya pombe, bangi na ngono ni vitu vya kawaida vyuoni dunia nzima! sasa kama hujafanya hayo(kwa walioamua kufanya) wakati ukiwa chuo, watayafanya hayo wakiwa wapi?? ile baa ya wanafunzi ipo kwa ajili ya nani? au ni urembo tu? argument nyingine hapa ni za kilevi kushinda hao wanafunzi mnaowaita walevi!! tuwe wakweli jamani......
Huwezi kuwa mkweli wakati ukweli unaukataa na uko mbele yako. Hawa vijana hawajagoma kwa sababu ya maji, umeme au uchaguzi! Hawajagoma kwa sababu ya mazingira magumu ya wao kusomea kama unavyotaka tuamini. Nitakuambia sababu.
Wamegoma kwa sababu Nyerere amewaambiwa wagome kwani matatizo ya maji, umeme, na mazingira magumu yalikuwapo tangu enzi za Nyerere. Usije kulaumu Chuo kilichofunguliwa na yule Mzee Marehemu na ambaye ndiyo alikuwa muasisi na mara nyingi alikuwa akienda hapo. Hicho chuo kinafuata mawazo na mtindo wa muasisi wake ndio maana vijana hawa wamegoma. Wamechoka na mawazo ya Nyerere na influence yake kwenye eneo hili la elimu.
Huo ndio ukweli.
Why Kugoma?
labda nikuambie kwa kutumia why not?
1. Why not kugoma ili serikali isitishe mikataba mibovu?
2. Why not kugoma ili bei ya umeme ipungue?
3. Why not kugoma ili serikali isite kulipa richmonduli?
4. Why not kugoma ili Mkapa na mafisadi wengine washitakiwe?
5. Why not kugoma ili Kikwete asifuje mabilioni ya fedha hazina?
6. Why not kugoma ili serikali ithamini elimu nchini?
7. Why not kugoma ili pesa za nchi zitumike kwenye huduma za afya?
8. Why not kugoma ili maji na huduma muhimu zipatikane nchini?
9. Why not kugoma ili huduma muhimu zipatikane chuoni?
10. Why not kugoma ili fisadi, dikiteta na muuaji Mukandara akome kuingilia chaguzi huru za wanafunzi wa chuo kikuu?
Huwezi kuwa mkweli wakati ukweli unaukataa na uko mbele yako. Hawa vijana hawajagoma kwa sababu ya maji, umeme au uchaguzi! Hawajagoma kwa sababu ya mazingira magumu ya wao kusomea kama unavyotaka tuamini. Nitakuambia sababu.
Wamegoma kwa sababu Nyerere amewaambiwa wagome kwani matatizo ya maji, umeme, na mazingira magumu yalikuwapo tangu enzi za Nyerere. Usije kulaumu Chuo kilichofunguliwa na yule Mzee Marehemu na ambaye ndiyo alikuwa muasisi na mara nyingi alikuwa akienda hapo. Hicho chuo kinafuata mawazo na mtindo wa muasisi wake ndio maana vijana hawa wamegoma. Wamechoka na mawazo ya Nyerere na influence yake kwenye eneo hili la elimu.
Huo ndio ukweli.
Okay Wanafunzi wanahaki kugoma, lakini ni nini msingi wa mgomo wao? kwa nini waingize fujo?
Je ni kutokana na kuwa Lost in Translation?
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12467
Kama ni bangi, umesahau kuwa Kikwete ana list kubwa sana ya wauza madawa ya kulevya ambao hadi leo hawajachukuliwa hatua yoyote ile?
Unavyowaita wanafunzi hawa kama animals, unatumia the same language ambayo makaburu walikuwa wanamwita Nelson Mandela
ndio, niliichukua kwa nyerere na ni legend pale...labda kama hawa wa siku ni wachovu kiasi kwamba kugoma ndio mtkasi pekee!! sidhani kama hiyo ni kweli!
acha utoto.......
Rev i do have the same argument.I was born and rised in Mlimani, i know source kubwa ya migomo ni kitivo cha uhandisi. Why? That is the question ninalo jiuliza miaka nenda miaka rudi. uhandisi suppose to be soma soma limited.
I think its a time UDSM kiwe private then government iwe inatoa scholarship to those who qualified. I think we need to do that, i think itarudisha heshima ya Mlimani. Hakuna haja ya kuwalipia ada wasela, watu walikwenda pale mlimani kwa nia nyingine, either iwe ni kusaka wapenzi au kula ruzuku na kucheza pool kwenye cafteria zao kule mabibo hostel.
Let return the respect ya Mlimani.