the intelligence
Member
- Sep 19, 2017
- 8
- 5
Mkuu nisaidie link ya majina kwa primaryBookkeeping vs commerce ndio habri ya mjini... Ila imeandika awam ya kwanza
Jamani tusaidieni kuweka link ya majina kwa primary
Mkuu nisaidie link ya majina kwa primaryBookkeeping vs commerce ndio habri ya mjini... Ila imeandika awam ya kwanza
Jamani tusaidieni kuweka link ya majina kwa primary
Nitumie majina yake pm nikuangalizie mkuu nimefanikiwa kuyapata japo kwa mbinde sanaMlioko tamisemi wekeni ya primary nione mdogo Wang km amepata , maana aliko huku ananisumbua kwenye cm "bro angalia" had namwonea huruma km akikosa
Mkuu nashindwa ku upload hapa, nicheki whatsaap 0742197840 nikutumieMlioko tamisemi wekeni ya primary nione mdogo Wang km amepata , maana aliko huku ananisumbua kwenye cm "bro angalia" had namwonea huruma km akikosa
Poa mkuu nakutext saizMkuu nashindwa ku upload hapa, nicheki whatsaap 0742197840 nikutumie
NimekupmNitumie majina yake pm nikuangalizie mkuu nimefanikiwa kuyapata japo kwa mbinde sana
No, don't you ever say that, wakati wa muumba kufungua rizki yako bado, usikate tamaa kwa kujifikiria vibaya hivoDuuh damu ya kunguni ndo tyme ya kujifahamu hii.
Acha uchoyoNitumie majina yake pm nikuangalizie mkuu nimefanikiwa kuyapata japo kwa mbinde sana
Uchoyo upi mkuu?Acha uchoyo
Sasa hizi history, Kiswahili, language, siwazitoe tu kwenye vigezo vya kusomea ualimu... Kupotezeana mda tuu... So sad
Namm nashindwa ku-upload mkuu,.